Je, kuna madhara gani kama mtu anakaa muda mrefu bila kujamiiana au kufanya mapenzi?
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Ukweli ni kwamba hakuna madhara yoyote ya kiafya iwapo utakaa muda mrefu bila ya kujamiiana. Viungo vya uzazi havidhuriki wala sehemu nyingine yoyote katika mwili wako. Mwanamke na mwanaume wakianza kujamiiana baada ya kukaa muda mrefu watapata raha na starehe kama kawaida.
Kuna uvumi potofu kwamba kutofanya mapenzi kunasababisha kuwa na chunusi usoni au sehemu za siri, au hata kuchanganyikiwa kiakili. Siyo kweli kwamba hali hiyo inasababishwa na kutojamiiana bali husababishwa na mambo mengine kabisa.
Elewa kwamba kutojamiiana kabisa hakuna madhara yoyote. Lakini kama tulivyosema awali kujamiiana kunaweza kuleta matatizo mengi kama mimba isiyotarajiwa, magonjwa ya zinaa ikiwa pamoja maambukizi ya virusi vya UKIMWI na UKIMWI wenyewe.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Ni vigumu sana kujibu swali hili kwa sababu muda wa madhara hutegemea sababu mbalimbali kama vile...
Read More
Hakuna mwenye kosa, kwa sababu jinsia ya mtoto i inategemea na bahati na hamna uwezekano wa kupan...
Read More
Kitu muhimu ni kwamba, kweli uwe umedhamiria kuacha. Hatua ya kwanza ni kujiuliza kwa nini unatum...
Read More
Wataalamu wanashauri kwamba msichana anastahili kuanza kubeba mimba kuanzia umri wa miaka 18 hadi...
Read More
Zipo aina mbili za mapacha, wale wanaofanana na wale wasiofanana. Karibu robo ya mapacha wote hufana...
Read More
Katika swali hili lazima tutofautishe kati ya kutoa damu na kuwekewa damu. Kutoa damu hakuleti ha...
Read More
Si rahisi kusema ni kitendo kipi kilicho cha kawaida na kisicho cha kawaida. Kulamba ni jambo linalo...
Read More
Watu huogopa kujaribu vitu au mambo ambayo hawajayazoea
au yale ambayo yapo tofauti. Jinsi u...
Read More
Magonjwa ya zinaa husababishwa na vijidudu vya magonjwa na huambukizwa kwa kukutana kimwili na mt...
Read More
Karibu ndugu yangu kwenye makala hii ambao inazungumzia njia mbalimbali ambazo utaweza kutumia ku...
Read More
Unyanyasaji wa ujinsia una matatizo mabaya ya kimwili na
yanayochukua muda mrefu kwa mwathir...
Read More
Watoto wengi wanaozaliwa na ualbino, wazazi wao wana rangi
ya ngozi, nywele na macho inayafa...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!