Unapofikia ujana unaanza kuwa na hisia za upendo na kujisikia kupata mvuto au msisimko ambao sio wa kawaida. Jambo hili ni la kawaida kwa kijana yeyote anayekua. Ni dalili zinazoonyesha kwamba sasa unaingia utu uzima.
Unapopata hisia za namna hiyo jaribu kutafuta shughuli zitakazokusahaulisha, kama vile, michezo, kujisomea, kuwasaidia wazazi kazi za nyumbani au kujihusisha katika shughuli za vikundi katika jamii. Vijana wengine wanasema kwamba wanaoga maji baridi ili kuondoa hamu na msisimko wa kutaka kujamiiana.
Unapojisikia kutaka kujamiiana au uume kudinda haimaanishi lazima ujamiiane. Kujamiiana ni njia mojawapo tu ya kuonyesha mapenzi. Kuna njia nyingine ambazo zinaweza kutumika kama vile kuongea, kushikana, mikono, kukumbatiana, kubusu na kushikanashikana.
Njia nyingine ni kupiga punyeto. Kupiga punyeto ni wakati msichana anajishika au anasuguasugua kinembe mpaka anapofikia mshindo, au wakati mvulana anasugua sugua uume wake mpaka anaposhusha. Watu wengi wanaopiga punyeto hufanya hivyo wakiwa peke yao. Kupiga punyeto hakuna madhara yoyote kiafya wala kiakili na ni aina moja ya kuwa na βmapenzi salamaβ.
Unapofikia ujana unaanza kuwa na hisia za upendo na kujisikia kupata mvuto au msisimko ambao sio wa kawaida. Jambo hili ni la kawaida kwa kijana yeyote anayekua. Ni dalili zinazoonyesha kwamba sasa unaingia utu uzima. Unapopata hisia za namna hiyo jaribu kutafuta shughuli zitakazokusahaulisha, kama vile, michezo, kujisomea, kuwasaidia wazazi kazi za nyumbani au kujihusisha katika shughuli za vikundi katika jamii. Vijana wengine wanasema kwamba wanaoga maji baridi ili kuondoa hamu na msisimko wa kutaka kujamiiana. Unapojisikia kutaka kujamiiana au uume kudinda haimaanishi lazima ujamiiane. Kujamiiana ni njia mojawapo tu ya kuonyesha mapenzi. Kuna njia nyingine ambazo zinaweza kutumika kama vile kuongea, kushikana, mikono, kukumbatiana, kubusu na kushikanashikana. Njia nyingine ni kupiga punyeto. Kupiga punyeto ni wakati msichana anajishika au anasuguasugua kinembe mpaka anapofikia mshindo, au wakati mvulana anasugua sugua uume wake mpaka anaposhusha. Watu wengi wanaopiga punyeto hufanya hivyo wakiwa peke yao. Kupiga punyeto hakuna madhara yoyote kiafya wala kiakili na ni aina moja ya kuwa na βmapenzi salamaβ.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
0 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Karibu sana kwenye makala hii ya blog, ambapo tutajadili kuhusu kwa nini watu wanapendelea kutafuta njia za kuleta msisimko wakati wa ngono au kufanyaβ¦
Wanawake wengine wanapata vidonda vya tumbo, lakini haya hayana uhusiano na vidonge vya kuzuia mimba. Vyanzo vya vidonda vya tumbo mara nyingi ni maamβ¦
Je, watu wanapendelea ngono/kufanya mapenzi ya kimyakimya au ngono/kufanya mapenzi ya kelele? Hii ni swali ambalo linaweza kuwa na majibu tofauti kutoβ¦
Kwa kawaida mtu anapoamua kwenda kupima mara nyingi anakuwa na sababu za kumfanya ahisi kuwa au kutokuwa na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI. Kwa hiyo β¦
Habari wapenzi wa blogu yetu! Leo, tutazungumzia suala la ngono na wakati bora wa kufanya mapenzi. Je, watu wanapendelea kufanya mapenzi ya asubuhi auβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate