Afya ya uzazi ni nini?
Date: April 15, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Afya ya uzazi inahusiana na mfumo wa uzazi wa mtu, na via
vya uzazi kwa watu. Kwa hali hiyo basi inahusiana na mambo
yote yanayojumuisha uzazi na ujinsia. Ina maana kuwa watu
wana uwezo wa kukidhi mapenzi na usalama katika maisha
yao, kwamba watu wana uwezo wa kuwa na watoto na pia wana
uhuru wa kuamua, kama lini na kwa muda gani wapate watoto.
Yaliyomo humu yanampa haki mwanamume na mwanamke kupewa
habari au kuelekezwa na kufikiwa na njia za uzazi wa mpango
ambazo ni salama, zinazofanya kazi, anazomudu kulipia na njia
zinazokubalika za uzazi wa mpango alizochagua na haki ya kuwa
na huduma za afya zinazofaa ambazo zitawawezesha wanawake
kuwa salama wakati wa ujazito na kujifungua.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Uwezekano wa kuambukizwa na Virusi vya UKIMWI na UKIMWI ukijamii ana na mtu mwenye virusi vya UKI...
Read More
Je, kuna tofauti za umri katika ngono/kufanya mapenzi? Ndio, kuna tofauti nyingi sana! Hiyo ndiyo...
Read More
Kama mama mjamzito atatumia dawa za kulevya basi humuathiri mtoto moja kwa moja. Mtoto aliye tumb...
Read More
Je, kuna umuhimu wa kufanya ngono/kufanya mapenzi kwa mara kwa mara katika uhusiano? Hili ndilo s...
Read More
Ni kweli hiyo ni dhuluma na inaitwa unyanyasaji wa kijinsia kwa
mtoto. Watoto wanaweza kusha...
Read More
Karibu kwenye blogi hii ambapo tutazungumzia kuhusu mbinu za kuleta msisimko wakati wa ngono/kufa...
Read More
Jinsi ya Kujielewa na Kuelewa Miili Yetu kabla ya Kujihusisha na Ngono πππ
Karibu...
Read More
Kutumia fedha nyingi kupata muda mzuri na msichana siyo lazima. Kuna njia nyingi za kuwa na muda ...
Read More
Ndiyo. Hapa Tanzania kuna kitengo maalumu kinachojishughulisha
na masuala ya akili. Wataalam...
Read More
Je, Ni Vipi Kuepuka Shinikizo la Kufanya Ngono Katika Mahusiano? π
Kuwa na nguvu ya kue...
Read More
Je, ni muhimu kwa washiriki wote kufikia kilele wakati wa ngono/kufanya mapenzi?
Wakati wa...
Read More
Kama umebakwa au kulazimishwa kujamiiana unaweza kupata
huduma katika hospitali, kituo cha a...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!