Zuzu kaniuliza, "Anko, unajua vitu vinavyoanzia na K ni vitamu sana."
Nikashtuka, "Astaghafilulah we mtoto! Niondolee wehu wako hapa!"
Zuzu akatabasamu. Akaendelea kuongea kabla sijafanikiwa kumzuia. "Kweli kabisa anko. Vitu vinavyoanza na K ni vitamu sana kwa mfano kuku, kalimati, keki, kabab, katleti, kashata, kisheti na karoti."
Nikashusha pumzi. "Ahaa! Kumbe ndo hivyo, ni kweli!"
Zuzu akanitupia swali. "Kwani we anko ulidhani nini?"
Zuzu kaniuliza, "Anko, unajua vitu vinavyoanzia na K ni vitamu sana." Nikashtuka, "Astaghafilulah we mtoto! Niondolee wehu wako hapa!" Zuzu akatabasamu. Akaendelea kuongea kabla sijafanikiwa kumzuia. "Kweli kabisa anko. Vitu vinavyoanza na K ni vitamu sana kwa mfano kuku, kalimati, keki, kabab, katleti, kashata, kisheti na karoti." Nikashusha pumzi. "Ahaa! Kumbe ndo hivyo, ni kweli!" Zuzu akanitupia swali. "Kwani we anko ulidhani nini?"
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
β¦Upo kazini umeacha familia yako nyumbani mara ghafla unapigiwa simu kutazama unakutana na no ngeni na kuamua kuipokea ndipo unakutana na Sauti ya msiβ¦
UJASIRIAMALI Ujasiriamali ni mojawapo ya nguzo muhimu zinazochochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika jamii. Ni mchakato wa kuthubutu au kujaribβ¦
Hata kama ni Mgeni this is too much. Mwenyeji: Karibu mgeni karibu ukae,utapenda chai au soda? Mgeni: Nipe nianze na soda wakati chai inachemka. Mwenyβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate