Angalia kilichotokea
Walevi wawili waliokota kioo, mlevi wa 1 akaangalia muda mrefu kisha akasema "hii sura sio ngeni machoni mwangu sema jina tu silikumbuki..! !!
Mlevi wa pili akamnyang'anya kisha nae akaangalia kioo akasema "wee kweli huna akili, si mimi huyu? halafu unajidai hunikumbuki β¦!!!
Angalia kilichotokea Walevi wawili waliokota kioo, mlevi wa 1 akaangalia muda mrefu kisha akasema "hii sura sio ngeni machoni mwangu sema jina tu silikumbuki..! !! Mlevi wa pili akamnyang'anya kisha nae akaangalia kioo akasema "wee kweli huna akili, si mimi huyu? halafu unajidai hunikumbuki β¦!!!
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Kuna ibada za Mama Bikira Maria zinazoadhimishwa katika liturujia ya Kiroma. Hapa zimepangwa kulingana na heshima zinavyozidiana:Sherehe8 Desemba β Biβ¦
1.π₯Umejipa jukumu la kuwa "mpelelezi" wa maisha ya wengine na umesahau maisha yako.2.π₯Umebeba vinyongo na visasi moyoni vinavyokufanya uwafikirie waliβ¦
Mama mkwe alimuuliza mkwewe "binti" samahani mbona mtoto hajafanana na mwanangu kabisa?Binti akajibu, "bila samahani mama huku chini nina njia ya uzazβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate