Nimeamka asubuhi nikiwa na elfu 1 tu mfukoni, nikamtuma mtoto wa jirani akaninunulie maandazi nipate kunywa chai. Baada ya muda namuona anarudi huku analamba askrimu ya AZAM kama Simba vile. Nikamuuliza maandazi yako wapi? Akanijibu eti wakati anafika yanapouzwa maandazi akagundua kuwa kapoteza hela yangu, hivyo akaanza kurudi, ila bahati nzuri wakati anarudi ili kuja kunitaarifu kuhusu kupotea kwa hela yangu, njiani akaokota elfu 1 ambayo kuna mtu alipoteza ndio akaamua kununua askrimuβ¦.kwa sasa niko polisi na mtoto yuko dispensari na mamakeπππππππ

π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
238 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Tafuta fursa kila kona.Tumia kipaji chako.Kuwa na nidhamu katika fedha - matumizi mazuri ya pesa, nidhamu kwa watu wanaokuzunguka, usijikweze, usibaguβ¦
MASKINI NA TAJIRI WANA MAWAZO TOFAUTI.Maskini hudhani utajiri ni chanzo cha matatizo.Tajiri hudhani umaskini ni chanzo cha matatizo.Maskini hudhani ubβ¦
Ili kufanya ngozi yako kuwa laini bila madoa zingatia mambo haya yafuatayo;1.TUMIA ANTIOXIDANT SERUM.Sio kila mtu ana bahati ya kupata ngozi laini na β¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate