Nimekutana na dogo mmoja hivi hapa analia,namuliza analia nin??ananambia ''ALIPEWA MIA TANO ZIPO MBILI,MIA TANO MOJA YA NYANYA na MIA TANO NYINGINE YA VITUNGUU sasa KAKOSEA KAZICHANGANYA HAJUI TENA IPI NI YA NYANYA na IPI NI YA VITUNGUU!!!
. .
NA PESA ZOTE ANAZO KAZISHIKA MKONONI,
Nimekutana na dogo mmoja hivi hapa analia,namuliza analia nin??ananambia ''ALIPEWA MIA TANO ZIPO MBILI,MIA TANO MOJA YA NYANYA na MIA TANO NYINGINE YA VITUNGUU sasa KAKOSEA KAZICHANGANYA HAJUI TENA IPI NI YA NYANYA na IPI NI YA VITUNGUU!!!..NA PESA ZOTE ANAZO KAZISHIKA MKONONI,
π¬
Discussion
Share a thoughtful comment or reply. Content is escaped before display.
Nimejifunza jambo kubwa sana ambalo sote tuna lijua nalo ni "NIA".Nimemtazama mwendesha pikipiki anaiwasha pikipiki kwa muda mrefu kwa kupiga kiki kwaβ¦
Wapendwa, napenda kushirikiana na nyinyi kujuzana hili nililolisikia kupitia channel ten leo asubuhi kuhusu ugonjwa wa kisukari.Wataalam waliokua wakiβ¦
Alifanya hivi;Siku ya kwanzaMUME: Halooo vipi mke wangu salama weye?.MKE: Salama tuMUME: Uko wapi?MKE: Jamani si niko nyumbaniMUME: Mhh kama kweli ukoβ¦
π π π Panya watatu walikua wakibishana nani Ni noma zaidiPanya 1: jamani mimi ni noma Wiki hii nimekula rat rat(sumu ya panya) mara tatu na sijadedi !β¦
Hii ni dawa maalumu Kwa ajili ya kudhibiti wadudu wasumbufu shambani kwako. Imetengenezwa katika Ubora wa Hali ya Juu Ili kukuhakikishia matokeo mazurβ¦
Discussion
Share a thoughtful comment or reply. Content is escaped before display.