Kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake
anatoka nje ya ndoa basi akamwuliza mke,
mkewe akakataa, akamwambia baba yake
akaambiwa na babaake tulia mwanangu ndoa
zina mengi! akawa kila siku analalamika kwa
babaake, mwisho babaake akamwambia basi
ntakusaidia. Itabidi ujifanye unaumwa sana hoi
hujiwez halafu nitakuonyesha jawabu!
Basi kijana akajifanya anaumwa mzee akaitisha
kikao cha ndugu wote pande 2,
Mzee akaanza kueleza jaman kijana wetu
anaumwa amepata ugonjwa wa utata hospital
zote umeshindikana hivyo tumeenda kwa mganga
wa jadi amenipa dawa na ina masharti, inatakiwa
atakaye iandaa hii dawa awe mwanamke mwenye
ndoa ambaye hajawah kutoka nje ya ndoa tangu
alipoolewa ndo kijana wetu atapona!
Kama ametoka nje ya ndoa asiandae dawa hii
kwa sababu tukimpa kjana wetu watakufa wote!
Je kina mama nani ataandaa? Walitoka nje
wamama mmoja mmoja hadi mkewe na mamake
mzazi wakatoka, akafata mama ake kijana,
mashangazi na dada zake, mwisho wakabakia
wanaume peke yao! Mzee akamwambia
mwanangu umeona hali za ndoa zilivyo?
Acha kujisumbua tulia na mkeo nadhani
umejionea hali halisi.
Cha zaidi omba Mungu sana juu ya ndoa yako!
Kijana akazimia!
SOMA TENA KISHA MTUMIE NA MWENZIO.
Kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake anatoka nje ya ndoa basi akamwuliza mke, mkewe akakataa, akamwambia baba yake akaambiwa na babaake tulia mwanangu ndoa zina mengi! akawa kila siku analalamika kwa babaake, mwisho babaake akamwambia basi ntakusaidia. Itabidi ujifanye unaumwa sana hoi hujiwez halafu nitakuonyesha jawabu! Basi kijana akajifanya anaumwa mzee akaitisha kikao cha ndugu wote pande 2, Mzee akaanza kueleza jaman kijana wetu anaumwa amepata ugonjwa wa utata hospital zote umeshindikana hivyo tumeenda kwa mganga wa jadi amenipa dawa na ina masharti, inatakiwa atakaye iandaa hii dawa awe mwanamke mwenye ndoa ambaye hajawah kutoka nje ya ndoa tangu alipoolewa ndo kijana wetu atapona! Kama ametoka nje ya ndoa asiandae dawa hii kwa sababu tukimpa kjana wetu watakufa wote! Je kina mama nani ataandaa? Walitoka nje wamama mmoja mmoja hadi mkewe na mamake mzazi wakatoka, akafata mama ake kijana, mashangazi na dada zake, mwisho wakabakia wanaume peke yao! Mzee akamwambia mwanangu umeona hali za ndoa zilivyo? Acha kujisumbua tulia na mkeo nadhani umejionea hali halisi. Cha zaidi omba Mungu sana juu ya ndoa yako! Kijana akazimia! SOMA TENA KISHA MTUMIE NA MWENZIO.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
238 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Ex wangu leo kaupdate status yake ya watsap et"NILIOTEMBEA NAO WOTE MKAPIME"Saizi nipo apa kwa fundi nguo, napimwa kitambaa Harusi sijui lini anapendaβ¦
Wachambuzi wa mambo ya saikolojia wanasema kwamba kwa kuchukua tai na kulivaa ile rangi ndiyo itakayoweza kupeleka ujumbe wa wewe unataka nini au unatβ¦
Bwana Yesu mwenyewe kwa kutumia kinywa cha Mtakatifu Margareta Maria Alakoki aliahidi Baraka na neema zifuatazo kwa wale wote watakaouheshimu Moyo wakβ¦
Jana nilijipa kazi ya kufuta vitu visivyo na umuhimu kwenye sm yangu. Katika futa futa si nimefuta namba ya bosi wangu. Halafu boss mwenyew wa kike. Mβ¦
Kuacha kitu chochote kabisa moja kwa moja ni rahisi sana kuliko kufanya kitu hicho kidogokidogo kwa wastani. Usijidanganye utafanya kidogo au utaacha β¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate