Jamaa kamdanganya girlfriend wake kuwa anasomea HOTEL MANAGEMENT. Siku huyo girlfriend akamkuta jamaa anaosha vyombo kwa MAMA NTILIE.
Girlfriend akamuuliza jamaa βbeby vipi mbona uko hapa?β Jamaa bila woga akajibu βNIPO FIELD.
Wanaume hatupendi ujinga sisi π π π
Jamaa kamdanganya girlfriend wake kuwa anasomea HOTEL MANAGEMENT. Siku huyo girlfriend akamkuta jamaa anaosha vyombo kwa MAMA NTILIE.Girlfriend akamuuliza jamaa βbeby vipi mbona uko hapa?β Jamaa bila woga akajibu βNIPO FIELD.Wanaume hatupendi ujinga sisi π π π
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
NAKUA(BABA) karudi kazini mwanae mdogo akamuwahi,DOGO: Baba usiingie ndani kina jini chumbani kwenuNAKUA: Hakuna kitu kama hichoDOGO: Kweli baba kuna β¦
Jamaa kaingia Bar;Jamaa: Muhudumu, nipe kinywaji na mpe kila mtu humu ndani kinywaji, maana wakati napata kinywaji lazima kila mtu apate kinywaji. Harβ¦
Tatizo la kukosa choo (constipation) ni tatizo ambalo limekuwa likiwakumba watu wengi sana katika dunia, watu wamekuwa wakiteseka bila kujua nini chanβ¦
Hypotension ndio jina linalotumika kuelezea presha ya kushuka ambayo mpaka sasa chanzo chake hakijawa wazi. Kipimo cha presha huwa na namba mbili. Namβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate