Jamaa Mmoja Alimwambia Mke Wake Wasiliana Na Kitengo Cha Dharura Hospitali, Niko Taabani Nahisi Kama Ninakufa.
Mke Akamwambia Nipe Namba Yako Ya Siri Nifungue Simu Yako.
Mume Akasemaππ Basi Acha Tu; Kila Nafsi Itaonja Mauti
πππππππππππ
Jamaa Mmoja Alimwambia Mke Wake Wasiliana Na Kitengo Cha Dharura Hospitali, Niko Taabani Nahisi Kama Ninakufa.Mke Akamwambia Nipe Namba Yako Ya Siri Nifungue Simu Yako.Mume Akasemaππ Basi Acha Tu; Kila Nafsi Itaonja Mautiπππππππππππ
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
238 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Mmmh!mpz cjui n kwann nahamu ya kufaid penz lako kiachk,?na taman lait ungekuwa krb yang unipme gonjwa hl naunitibu pia.kwan ww ndiye daktar wa pekee β¦
Kumtafuta Mungu ni jukumu la mtu binafsi na nafsi yake. Huwezi kumfuata Mungu kwa kufwata njia ya wengine. Njia yako ya kukuwezesha kumfikia Mungu ni β¦
Breaking news π₯Watu wasiojulikana wamevamia jengo lisilojulikana naKufanya tukio lisilo julikana na kukimbiliaππΏ kusiko julikana na mpaka sasa hakuna β¦
Utangulizi Amani ya Moyoni au Rohoni ni hali ya kutokua na wasiwasi na hofu moyoni kuhusu Mambo ya Rohoni na ya kidunia. Ili kuwa na Amani ya Moyoni uβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate