Jana usiku kuna Jirani yangu..kanitumia text "mambo vipi?"β¦halafu tunakaa nae mtaa mmoja nikaona nikimjibu ni uharibifu wa hela nikaenda kumgongea mlango saa 7 usiku. Alipofungua nikamjibu "shwari"halafu nikarudi nyumbani kulala zangu..
Sipendagi kuchezea salio..
πππππ
Jana usiku kuna Jirani yangu..kanitumia text "mambo vipi?"β¦halafu tunakaa nae mtaa mmoja nikaona nikimjibu ni uharibifu wa hela nikaenda kumgongea mlango saa 7 usiku. Alipofungua nikamjibu "shwari"halafu nikarudi nyumbani kulala zangu..Sipendagi kuchezea salio..πππππ
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
HUU NDO UMUHIMU WA ENGLISH KATIKA MAPENZIjaribu kumwita mpenzi wako "my sweet potato" atakuelewa ila mwite kwa kiswaili " *kiazi wangu mbatata*"hiyo iβ¦
Hatua za kufuata1. Tengeneza glasi moja ya juisi ya karoti2. Weka vijiko vikubwa viwili vya asali ndani yake na kisha changanya vizuri3. Kunywa yote aβ¦
Looku Looku* ππ*Ama Kweli Mkuki Kwa Nguruwe kwa Binadamu Mchungu Skia Hiiβ¦.!!**Ishawahi kutokea Pale nilipokutana njiani na mwalimu aliyekufundisha MAβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate