kama ni usafiri wewe ni gari salama,kama ni kiwanda weweni namba moja ,kama ni maji kwako kuna chemchem,kama nimapenzi kwako nimefika,niahidi utakuwa β¦
Mungu akubariki uwe mwiz wa ujuzi na maarifa, mlafi wakushauri, mroho wa busara, mchoyo wa matusi, mlevi waupendo na kiherehere cha kuabudu.say Amen! β¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate