Demu: Hny mambo jamani!
Man: Safi nipe habari wangu wa moyo
Demu:Wafanya kazi gani vile wangu?
Man: Ni fundi wa kufunga ATM
Demu: Wow dont tel me i love you myn mwa mwa mwaaaaah
Man: Mbona wafurahia?
Demu: Nami natamani kuja kufanya kazi za kibenki.
Man: Itakua poa sana nami natamani pia
Demu: Hee si umesema wafanya kazi ya kufunga ATM?
Man: Hukunielewa mie ninafunga mashine na za kunulia condom kwenye bar
Demu: nipishe huko
Demu: Hny mambo jamani! Man: Safi nipe habari wangu wa moyo Demu:Wafanya kazi gani vile wangu? Man: Ni fundi wa kufunga ATM Demu: Wow dont tel me i love you myn mwa mwa mwaaaaah Man: Mbona wafurahia? Demu: Nami natamani kuja kufanya kazi za kibenki. Man: Itakua poa sana nami natamani pia Demu: Hee si umesema wafanya kazi ya kufunga ATM? Man: Hukunielewa mie ninafunga mashine na za kunulia condom kwenye bar Demu: nipishe huko
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yamebadili mfumo wa maisha ya watu pamoja na kuathiri afya zao kwa kiasi kikubwa. Hivi leo watu wanatumia vyombo mbβ¦
Siku hizi kuna tangazo moja la kampuni ya simu za mikononi, Tigo, likimuonesha mama akiwa _busy_ na pembeni yupo mwanae mdogo apo akijisemesha na akatβ¦
Majilio (pia: Adventi ) ni kipindi cha liturujia yamadhehebu mbalimbali ya Ukristo (kama vileKanisa Katoliki, ya Waorthodoksi , Waanglikanana Walutherβ¦
Ili kufanya ngozi yako kuwa laini bila madoa zingatia mambo haya yafuatayo;1.TUMIA ANTIOXIDANT SERUM.Sio kila mtu ana bahati ya kupata ngozi laini na β¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate