Bangi si mchezo!
Jamaa kaikoleza si ikamtuma avue nguo!
Akavua nguo zote akaenda kwenye kioo, kujitazama akaona kama kavaa suti!
then akaenda kama alivyo zaliwa kwa masela wenzake akawauliza vp suti imenikaa? Mvuta bangi mwenzie akamwambia "imekutoa kinyama ila tai umeifunga chini sana".
Bangi si mchezo! Jamaa kaikoleza si ikamtuma avue nguo! Akavua nguo zote akaenda kwenye kioo, kujitazama akaona kama kavaa suti! then akaenda kama alivyo zaliwa kwa masela wenzake akawauliza vp suti imenikaa? Mvuta bangi mwenzie akamwambia "imekutoa kinyama ila tai umeifunga chini sana".
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
237 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
NI muujiza! Pengine hivyo ndivyo yeyote anaweza kusema pindi akisikia kwa mara ya kwanza juu ya namna mihogo mibichi na nazi kavu maarufu kama mbata vβ¦
Utangulizi Imani ni kuwa na uhakika hata kwa mambo yasiyoonekana na yasiyowezekana. Ni kujua au kutarajia kwa uhakika kwa mambo ambayo bado hayajawa bβ¦
Mama mkwe alimuuliza mkwewe "binti" samahani mbona mtoto hajafanana na mwanangu kabisa?Binti akajibu, "bila samahani mama huku chini nina njia ya uzazβ¦
Chunusi ni ugonjwa wa ngozi ambao hujit-okeza kama viuvimbe/vipele vidogo vidogo hasa sehemu za uso,kifuani na hata mgongoni.Vipele hivi hutokea wakatβ¦
Viamba upishiUnga 2 ViwiliSukari ya kusaga 1/4 KikombeSiagi 250 gmsJam kisiaUfuta KisiaVanilla 1 kijiko cha chaiJinsi ya kuandaa na kupika1. Tia kwenyβ¦
MahitajiUnga wa mchele ( Vikombe 2 vikubwa)Sukari (Nusu ya kikombe kikubwa)Hamira ( Nusu ya kijiko cha chai)Hiliki (Nusu ya kijiko cha chai)Tui la nazβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate