Dogo: mama hivi malaika si wanapaa?
Mama: ndiyo wanapaa, kwanini umeniuliza hivyo?
Dogo: nimesikia baba jana anamuita dada (housegir) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa?
Mama: ndiyo atapaa kuelekea kijijini kwao kesho, pumbavu zake.
Dogo: mama hivi malaika si wanapaa? Mama: ndiyo wanapaa, kwanini umeniuliza hivyo? Dogo: nimesikia baba jana anamuita dada (housegir) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa? Mama: ndiyo atapaa kuelekea kijijini kwao kesho, pumbavu zake.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Ckia ckupend, cktaki na wala ckhitji tena ww ni kikwzoktka maisha yangu ucnizoee! Mwmbie shtan maneno hya kablahjalala. g9t Unaweza kutuma Ujumbe huu β¦
Yafuatayo ni maswali ya kujiuliza ili kujua kama mwanamke anakupenda kweli. Anajitoa kwa ajili yako? Mwanamke anayekupenda atakuwa tayari kujitoa muhaβ¦
Sitasahau mwaka ule ambapo nilipeleka barua ya maombi yangu ya kazi kwenye kampuni moja maarufu. Wakati nasubiri majibu siku moja nikaenda kwa mama ntβ¦
Kuna jamaa alifutwa kaziβ¦Ikawa kila siku anaenda nyumbani kwa boss wake na kunya mlango wa mbeleβ¦ Ikawa hvβ¦boss: _mbona waja kunya kwangu?_jamaa: _natβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate