John aliruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospital ya
Vichaa, akapakiwa ktk ambulance hadi karibu na
nyumbani kwake, akaulizwa kwako unapakumbuka?
akajibu ndio nyumba yangu ilee, mara wakatoka
watoto wawili wamevaa uniform akasema watoto
wangu walee wanakwenda shule..
Akatoka mwanamke akasema na mke wangu yulee,
Ghafla akatoka mwanaume john akasema mimi
yuleeeeeeeeβ¦. naenda kazini!! JE, NI KWELI
AMEPONA??
John aliruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospital ya Vichaa, akapakiwa ktk ambulance hadi karibu na nyumbani kwake, akaulizwa kwako unapakumbuka? akajibu ndio nyumba yangu ilee, mara wakatoka watoto wawili wamevaa uniform akasema watoto wangu walee wanakwenda shule.. Akatoka mwanamke akasema na mke wangu yulee, Ghafla akatoka mwanaume john akasema mimi yuleeeeeeeeβ¦. naenda kazini!! JE, NI KWELI AMEPONA??
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
CHEKA KIDOGOMVUVI MASKINI NA MKEWE MALAYA.Mvuvi mmoja alikua akiishi na mke wake hukuakiwa hajui kama mkewe malaya,Leo hii kamuaga mkewe baada ya kuonβ¦
House girl mmoja alipewa kazi na mzungu mara akavunja sahani.Mzungu aliporejea,kazin akamuuliza 'what happened to my plate?House girl akajbu: 'The dogβ¦
Kama umeajiriwa au pia umejiajiri ni mojawapo ya njia zinazokuingizia kipato maana wengi wanaanzia hapo mpaka kuja kufikia kule wanakohitaji.Ila kuna β¦
1. Epuka kugeuza mshahara wako kuwa mali ya ukoo. Kamwe mshahara wako siyo mali ya ukoo. Siku utakapoacha kuufanya mshahara wako mali ya ukoo ndipo siβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate