Jamaa mmoja alienda kuomba kazi Mbuga ya Wanyama, akaambiwa nafasi ya Kazi ipo ila hakuna Sokwe, "hivyo utajifanya Sokwe na tutakupa ngozi utavaa"
Jamaa siku ya kwanza akavaa, walipokuja watalii mambo yalienda vizuri, Siku iliyofuata Banda lake liliwekwa juu ya Banda la Simba, Jamaa ktk kuongeza mbwembwe akawa anarukaruka, kwa bahati mbaya si akaangukia ndani ya Banda la Simba, akawa anapiga kelele "Mama nakufaaa!"
Mara yule Simba akamwambia "Acha Ufala ww kelele za nini sasa, mimi mwenyewe Binadamu! rudi kwenye Banda lako kabla watalii hawajaja watatushtukia! chezea ajira ww"β¦β¦β¦!!
Jamaa mmoja alienda kuomba kazi Mbuga ya Wanyama, akaambiwa nafasi ya Kazi ipo ila hakuna Sokwe, "hivyo utajifanya Sokwe na tutakupa ngozi utavaa"Jamaa siku ya kwanza akavaa, walipokuja watalii mambo yalienda vizuri, Siku iliyofuata Banda lake liliwekwa juu ya Banda la Simba, Jamaa ktk kuongeza mbwembwe akawa anarukaruka, kwa bahati mbaya si akaangukia ndani ya Banda la Simba, akawa anapiga kelele "Mama nakufaaa!"Mara yule Simba akamwambia "Acha Ufala ww kelele za nini sasa, mimi mwenyewe Binadamu! rudi kwenye Banda lako kabla watalii hawajaja watatushtukia! chezea ajira ww"β¦β¦β¦!!ππππππππππ»ππ»ππ»ππ»
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Kisamvu ni aina ya mboga ya majani inayopatikana kwa wingi na kwa urahisi katika mikoa takriban yote nchini Tanzania.Pia aina hii ya mboga hupikwa katβ¦
Tafiti zinasema kwamba mtu mmoja anayekunywa soda moja kwa siku, anakunywa zaidi ya galoni au dumu 56 za soda kwamwaka.Japokua kuna watu wamekiri kunyβ¦
STORY ZA WASICHANA KTK SIMMaryβ¦ Hallow mpenziiLilyβ¦. Niambie my dearMary..Pouwaa za siku jamaniLilyβ¦Nzuri rafiki Yangu wa damuMaryβ¦Jioni nakuja kwako β¦
1. Wana Nguo Nyingi KulikoWanaume.2. Wanafahamu Nani Ni Baba HalisiWa Watoto Wao. 3. Ni Wepesi Kupenda NaWakipenda Hupenda Kweli. 4.Wanaoga Mara Nyingβ¦
Karibuni tuangalie aina hizi 10 za ndoa.1. NDOA YA MKEKAInatokana na kufumaniwa na Binti wa watu.Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjikamwaka mmoja β¦
Jamaa flani alikuwa amelala na mkewe. Mara akamuona mtu amesimama kitandani.Jamaa akafoka, "Toka hapa, we ni nani mpaka unakuja kitandani mwangu?"Yuleβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate