MCHUNGAJI alitangaza kila mwanaume aliye na mke atoe sadaka kulingana na uzuri wa mke wakeβ¦bac watu wakaanza kutoa 50,000/= 30,000/= na 20,000/=.
Kuna jamaa akatoa 500/=.
MCHUNGAJI akamuita ofisin akamuuliza.
MCHUNGAJI:Ina maana mkeo siyo mzuri?. Jamaa akajibu: Ukimuona utanirudishia na chenji.
ππππππππππ
MCHUNGAJI alitangaza kila mwanaume aliye na mke atoe sadaka kulingana na uzuri wa mke wakeβ¦bac watu wakaanza kutoa 50,000/= 30,000/= na 20,000/=.Kuna jamaa akatoa 500/=.MCHUNGAJI akamuita ofisin akamuuliza.MCHUNGAJI:Ina maana mkeo siyo mzuri?. Jamaa akajibu: Ukimuona utanirudishia na chenji.ππππππππππ
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Mchanganyiko wa mdalasini na asali ni dawa nzuri ya kutibu chunusi.Changanya asali vijiko vikubwa viwili na mdalasini ya unga kijiko kikubwa kimoja. Sβ¦
Mpenzi wangu kukutana nawe ilikuwa ni bahati, kukuchagua kuwa rafiki yangu ilikuwa ni maamuzi yangu, lakini kuanguka kwenye penzi lako haikuwa hiyari β¦
Kauli 10 za mtu asiye na malengo wala uthubutu1)Sina mtaji2)Sina Connection3)Nitaanza rasmi kesho4)Mimi ni wa hivihivi tu5)Mifumo mibovu ya Serikali nβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate