Mwanamke mmoja aliingia duka la vito vya thamani, akaona pete moja ya dhahabu nzuri sana amabayo ilikuwa kwenye shelf ya chini, wakati anainama apate kuitazama vizuri kwa bahati mbaya (au nzuri!), shuzi likamtoka- druuuuuu, soni ikamuingia huku akigeuka haraka kuangalia kama kuna yeyote dukani pale ameliskia shuzi lake, macho yakagongana na mwenye duka ambaye alikuwa karibu huku uso ukiwa umejaa tabasamu zito, mwana mama hakuwa na uhakika kama amesikika au hakusikika, akaona atumie nafasi ile kuyeyushaβ¦Akauliza "Hii pete bei gani?" . Jamaa mwenye duka, huku akiangua kicheko, akajibu "Umeiona tu umejamba, je nikikuambia bei yake si utakunya kabisa?"

π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
237 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Mapokeo ya urembo wa kisasa katika nchi zinazoendelea ni sehemu ya mchango wa urembo na mvuto tunaouona kwa baadhi ya wasichana na wanawake ambao kwa β¦
Vipo vitu mbalimbali ambavyo mama mjamzito hapaswi kuvitumia wakati wa ujauzito kwani vina athari kubwa sana kwake yeye mwenyewe pamoja na mwanaye aliβ¦
Leo nimeenda mahakamani, mara judge akasema..Order! Orderβ¦Mimi na kiherehere changu nikasema.. Chapati .. Maziwa na ovacado tatu β¦Nimewekwa kwa karoomβ¦
Mzungu akamdharau sana Mbongo nakujiona anajua kila kitu duniani!, Akamwambia Mbongo waulizane maswali na Mbongo akishindwa anatoa sh.500 na endapo yeβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate