Basi juzi kati hapa sehemu ndogo ya ukuta wa Ikulu ya Magogoni ilianguka!..
Wakapelekwa contractors watatu ili achaguliwe mmoja atakayejenga vzr na kwa bei nafuu!..
Wakwanza alikuwa MUHINDI, wa pili MCHINA na MBONGO!β¦
MUHINDI: "ntajenga kwa milioni 90!.., 40 za vifaa, 40 za mafundi na milioni 10 faida yangu"
MCHINA: "mi ntajenga kwa milioni 70!.., 30 za vifaa, 30 za mafundi na milioni 10 faida yangu"
MBONGO kuona vile akamvuta chemba msimamizi wa Magogoni!..
MBONGO: "mi ntajenga kwa milioni 270"
MSIMAMIZI WA MAGOGONI: "we una wazimu nn!.. yaani unathubutu kusema hivyo na unaona wenzako wametaja kiwango kidogo?!."
MBONGO: "milioni 100 zako, 100 zangu alafu hiyo milioni 70 tunaajiri yule mchina"
Basi juzi kati hapa sehemu ndogo ya ukuta wa Ikulu ya Magogoni ilianguka!.. Wakapelekwa contractors watatu ili achaguliwe mmoja atakayejenga vzr na kwa bei nafuu!.. Wakwanza alikuwa MUHINDI, wa pili MCHINA na MBONGO!β¦ MUHINDI: "ntajenga kwa milioni 90!.., 40 za vifaa, 40 za mafundi na milioni 10 faida yangu" MCHINA: "mi ntajenga kwa milioni 70!.., 30 za vifaa, 30 za mafundi na milioni 10 faida yangu" MBONGO kuona vile akamvuta chemba msimamizi wa Magogoni!.. MBONGO: "mi ntajenga kwa milioni 270" MSIMAMIZI WA MAGOGONI: "we una wazimu nn!.. yaani unathubutu kusema hivyo na unaona wenzako wametaja kiwango kidogo?!." MBONGO: "milioni 100 zako, 100 zangu alafu hiyo milioni 70 tunaajiri yule mchina"
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
237 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Sala za kila siku katika maisha ndiyo hazina kubwa na msaada hasa wakati wa kufa. Adumuye katika sala Mungu hatomwacha saa ya mwisho. Tusali, tusali, β¦
Tango ni tunda na ni mboga pia na ni chanzo kizuri cha potasiamu na vitamini nyingi ambazo zina kazi mhimu katika ngozi yako na huifanya ngozi ngozi iβ¦
Karibu tena jikoni, leo tunaandaa vitafunwa kwa ajili ya kifungua kinywa asubuhi.MahitajiMayai 3Soseji 2Mkate slesi 2Mafuta ya kupikia vijiko 2ChumviMβ¦
Nimeona leo nitoe darasa kidogo kuhusu mavazi sababu na mimi ni kipaumbele changu katika maisha. 1.Epuka kuvaa marangirangi Wakati unamatch mavazi jitβ¦
Kubarikiwa ni Kutokutindikiwa na kuwa na matumaini ya siku zijazo. Kubarikiwa ni kuwa na amani, furaha, na matumaini katika maisha ya sasa na yajayo. β¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate