Mzee kaingia pharmacy,
MZEE: Mambo mwanangu, kuna kitu naomba uonje nitakulipa
MFAMASIA: Kitu gani?β¦.Mzee akatoa kichupa na kijiko akaweka β¦majimaji yaliyomo kwenye
kichupa kwenye kijiko na kumwambia mfamasia aonje, mfamasia akatia yale maji mdomoni na kuyazungusha zungusha mdomoni akionja;
MZEE: Nipe jibu, ina utamu wa sukari au chumvi au pilipili?
MFAMASIA: Kama chumvichumvi
MZEE: Hakuna sukari
MFAMASIA: Sukari hakuna kabisa
MZEE: Loh asante chukua hii alfu tano nashukuru sana, dokta alinambia nipime mkojo wangu kama nina kisukari, kumbe sina asante bwana mdogo
Mzee kaingia pharmacy, MZEE: Mambo mwanangu, kuna kitu naomba uonje nitakulipa MFAMASIA: Kitu gani?β¦.Mzee akatoa kichupa na kijiko akaweka β¦majimaji yaliyomo kwenye kichupa kwenye kijiko na kumwambia mfamasia aonje, mfamasia akatia yale maji mdomoni na kuyazungusha zungusha mdomoni akionja; MZEE: Nipe jibu, ina utamu wa sukari au chumvi au pilipili? MFAMASIA: Kama chumvichumvi MZEE: Hakuna sukari MFAMASIA: Sukari hakuna kabisa MZEE: Loh asante chukua hii alfu tano nashukuru sana, dokta alinambia nipime mkojo wangu kama nina kisukari, kumbe sina asante bwana mdogo
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
238 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Hii ni dawa maalumu Kwa ajili ya kudhibiti wadudu wasumbufu shambani kwako. Imetengenezwa katika Ubora wa Hali ya Juu Ili kukuhakikishia matokeo mazurβ¦
Miwani za urembo maarufu kama miwani za jua zimetajwa kuwa na madhara kwa watumiaji wake kutokana na watu kutofahamu saizi za namba ambazo wanapaswa kβ¦
Neno kwaresma ni neno la kilatini liitwalo Quadragesima maana yake ni arobaini(40). Mpenzi msomaji, katika maisha ya kikristo kuna kipindi cha siku 40β¦
MahitajiDaal (lentils) nyekundu au/na kijani - 1 Kikombe kikubwaBizari ya manjano ya unga - 1/2 Kijiko cha chaiPili pili ya unga - 1/2 kijiko cha chaiβ¦
Kukosa hata mara moja inahesabika ni kukosea mbele ya Mungu. Kwa kuwa kwa Mungu hakuna kusema, 'Kukosea mara moja sio kosa bali kurudia kosa ndio kosaβ¦
nashtumiwa kwa kumpenda mcchana mmoja aliyeutesa moyowangumahakama imenihukumu kifo kwa kunyongwa na kamba upendolkn kwa msamaha wa raisi mapenzinmehuβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate