πŸ—‚οΈ 1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE🏷️ #Karibu AckySHINE🏷️ #Meseji za Vichekesho na Vituko🏷️ #Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu🏷️ #SMS Fupi za Vichekesho🏷️ #SMS Mpya za Vituko na Vichekesho🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Asubuhi Hii🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Desemba🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Disemba🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Ijumaa🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Januari🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Jioni Hii🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Juma Hili🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Jumamosi🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Jumanne🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Jumapili🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Jumatano🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Jumatatu🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Katikati Ya Juma🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Katikati Ya Wiki🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Kileo🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Kileo Tuu🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Kimjin Mjini🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Kisasa🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Kisasa Tuu🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Krismass🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Kuadisia🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Kujienjoy Leo🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Kukubadilisha Mood🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Kukubadilisha Mudi🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Kukuburudisha🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Kukuchangamsha🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Kukuchekesha🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Kukuondoa Mawazo🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Kukuondoa Stress🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Kukupa Mood Mpya🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Kukupa Mudi Mpya🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Kukuparaha🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Kushangaza🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Kushare🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Kutumia Watu🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Kuwaadisia🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Mchana Huu🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Msimu🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Msimu Huu🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Mwaka Mpya🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Pasaka Hii🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Sikukuu Hii🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Tanzania🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Vijana🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Wajanja🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Wakaka Na Wadada🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Wanawake Na Wanaume🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Wasichana Na Wavulana🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Watu Wote🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Wazee🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Weekend🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Wikiendi🏷️ #SMS Nzuri: Meseji za Vichekesho Vya Xmass🏷️ #SMS za Vichekesho Vizuri🏷️ #SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF🏷️ #Vichekesho Vya Asubuhi Hii🏷️ #Vichekesho Vya Desemba🏷️ #Vichekesho Vya Disemba🏷️ #Vichekesho Vya Ijumaa🏷️ #Vichekesho Vya Januari🏷️ #Vichekesho Vya Jioni Hii🏷️ #Vichekesho Vya Juma Hili🏷️ #Vichekesho Vya Jumamosi🏷️ #Vichekesho Vya Jumanne🏷️ #Vichekesho Vya Jumapili🏷️ #Vichekesho Vya Jumatano🏷️ #Vichekesho Vya Jumatatu🏷️ #Vichekesho Vya Katikati Ya Juma🏷️ #Vichekesho Vya Katikati Ya Wiki🏷️ #Vichekesho Vya Kileo🏷️ #Vichekesho Vya Kileo Tuu🏷️ #Vichekesho Vya Kimjin Mjini🏷️ #Vichekesho Vya Kisasa🏷️ #Vichekesho Vya Kisasa Tuu🏷️ #Vichekesho Vya Krismass🏷️ #Vichekesho Vya Kuadisia🏷️ #Vichekesho Vya Kujienjoy Leo🏷️ #Vichekesho Vya Kukubadilisha Mood🏷️ #Vichekesho Vya Kukubadilisha Mudi🏷️ #Vichekesho Vya Kukuburudisha🏷️ #Vichekesho Vya Kukuchangamsha🏷️ #Vichekesho Vya Kukuchekesha🏷️ #Vichekesho Vya Kukuondoa Mawazo🏷️ #Vichekesho Vya Kukuondoa Stress🏷️ #Vichekesho Vya Kukupa Mood Mpya🏷️ #Vichekesho Vya Kukupa Mudi Mpya🏷️ #Vichekesho Vya Kukuparaha🏷️ #Vichekesho Vya Kushangaza🏷️ #Vichekesho Vya Kushare🏷️ #Vichekesho Vya Kutumia Watu🏷️ #Vichekesho Vya Kuwaadisia🏷️ #Vichekesho Vya Mchana Huu🏷️ #Vichekesho Vya Msimu🏷️ #Vichekesho Vya Msimu Huu🏷️ #Vichekesho Vya Mwaka Mpya🏷️ #Vichekesho Vya Pasaka Hii🏷️ #Vichekesho Vya Sikukuu Hii🏷️ #Vichekesho Vya Tanzania🏷️ #Vichekesho Vya Vijana🏷️ #Vichekesho Vya Wajanja🏷️ #Vichekesho Vya Wakaka Na Wadada🏷️ #Vichekesho Vya Wanawake Na Wanaume🏷️ #Vichekesho Vya Wasichana Na Wavulana🏷️ #Vichekesho Vya Watu Wote🏷️ #Vichekesho Vya Wazee🏷️ #Vichekesho Vya Weekend🏷️ #Vichekesho Vya Wikiendi🏷️ #Vichekesho Vya Xmass🏷️ #Vihoja Vya Asubuhi Hii🏷️ #Vihoja Vya Desemba🏷️ #Vihoja Vya Disemba🏷️ #Vihoja Vya Ijumaa🏷️ #Vihoja Vya Januari🏷️ #Vihoja Vya Jioni Hii🏷️ #Vihoja Vya Juma Hili🏷️ #Vihoja Vya Jumamosi🏷️ #Vihoja Vya Jumanne🏷️ #Vihoja Vya Jumapili🏷️ #Vihoja Vya Jumatano🏷️ #Vihoja Vya Jumatatu🏷️ #Vihoja Vya Katikati Ya Juma🏷️ #Vihoja Vya Katikati Ya Wiki🏷️ #Vihoja Vya Kileo🏷️ #Vihoja Vya Kileo Tuu🏷️ #Vihoja Vya Kimjin Mjini🏷️ #Vihoja Vya Kisasa🏷️ #Vihoja Vya Kisasa Tuu🏷️ #Vihoja Vya Krismass🏷️ #Vihoja Vya Kuadisia🏷️ #Vihoja Vya Kujienji Leo🏷️ #Vihoja Vya Kujienjoy Leo🏷️ #Vihoja Vya Kukubadilisha Mood🏷️ #Vihoja Vya Kukubadilisha Mudi🏷️ #Vihoja Vya Kukuburudisha🏷️ #Vihoja Vya Kukuchangamsha🏷️ #Vihoja Vya Kukuchekesha🏷️ #Vihoja Vya Kukuondoa Mawazo🏷️ #Vihoja Vya Kukuondoa Stress🏷️ #Vihoja Vya Kukupa Mood Mpya🏷️ #Vihoja Vya Kukupa Mudi Mpya🏷️ #Vihoja Vya Kukuparaha🏷️ #Vihoja Vya Kushangaza🏷️ #Vihoja Vya Kushare🏷️ #Vihoja Vya Kutumia Watu🏷️ #Vihoja Vya Kuwaadisia🏷️ #Vihoja Vya Mchana Huu🏷️ #Vihoja Vya Msimu🏷️ #Vihoja Vya Msimu Huu🏷️ #Vihoja Vya Mwaka Mpya🏷️ #Vihoja Vya Pasaka Hii🏷️ #Vihoja Vya Sikukuu Hii🏷️ #Vihoja Vya Tanzania🏷️ #Vihoja Vya Vijana🏷️ #Vihoja Vya Wajanja🏷️ #Vihoja Vya Wakaka Na Wadada🏷️ #Vihoja Vya Wanawake Na Wanaume🏷️ #Vihoja Vya Wasichana Na Wavulana🏷️ #Vihoja Vya Watu Wote🏷️ #Vihoja Vya Wazee🏷️ #Vihoja Vya Weekend🏷️ #Vihoja Vya Wikiendi🏷️ #Vihoja Vya Xmass🏷️ #Visa Vya Asubuhi Hii🏷️ #Visa Vya Desemba🏷️ #Visa Vya Disemba🏷️ #Visa Vya Ijumaa🏷️ #Visa Vya Januari🏷️ #Visa Vya Jioni Hii🏷️ #Visa Vya Juma Hili🏷️ #Visa Vya Jumamosi🏷️ #Visa Vya Jumanne🏷️ #Visa Vya Jumapili🏷️ #Visa Vya Jumatano🏷️ #Visa Vya Jumatatu🏷️ #Visa Vya Katikati Ya Juma🏷️ #Visa Vya Katikati Ya Wiki🏷️ #Visa Vya Kileo🏷️ #Visa Vya Kileo Tuu🏷️ #Visa Vya Kimjin Mjini🏷️ #Visa Vya Kisasa🏷️ #Visa Vya Kisasa Tuu🏷️ #Visa Vya Krismass🏷️ #Visa Vya Kuadisia🏷️ #Visa Vya Kujienjoy Leo🏷️ #Visa Vya Kukubadilisha Mood🏷️ #Visa Vya Kukubadilisha Mudi🏷️ #Visa Vya Kukuburudisha🏷️ #Visa Vya Kukuchangamsha🏷️ #Visa Vya Kukuchekesha🏷️ #Visa Vya Kukuondoa Mawazo🏷️ #Visa Vya Kukuondoa Stress🏷️ #Visa Vya Kukupa Mood Mpya🏷️ #Visa Vya Kukupa Mudi Mpya🏷️ #Visa Vya Kukuparaha🏷️ #Visa Vya Kushangaza🏷️ #Visa Vya Kushare🏷️ #Visa Vya Kutumia Watu🏷️ #Visa Vya Kuwaadisia🏷️ #Visa Vya Mchana Huu🏷️ #Visa Vya Msimu🏷️ #Visa Vya Msimu Huu🏷️ #Visa Vya Mwaka Mpya🏷️ #Visa Vya Pasaka Hii🏷️ #Visa Vya Sikukuu Hii🏷️ #Visa Vya Tanzania🏷️ #Visa Vya Vijana🏷️ #Visa Vya Wajanja🏷️ #Visa Vya Wakaka Na Wadada🏷️ #Visa Vya Wanawake Na Wanaume🏷️ #Visa Vya Wasichana Na Wavulana🏷️ #Visa Vya Watu Wote🏷️ #Visa Vya Wazee🏷️ #Visa Vya Weekend🏷️ #Visa Vya Wikiendi🏷️ #Visa Vya Xmass🏷️ #Vituko Vya Asubuhi Hii🏷️ #Vituko Vya Desemba🏷️ #Vituko Vya Disemba🏷️ #Vituko Vya Ijumaa🏷️ #Vituko Vya Januari🏷️ #Vituko Vya Jioni Hii🏷️ #Vituko Vya Juma Hili🏷️ #Vituko Vya Jumamosi🏷️ #Vituko Vya Jumanne🏷️ #Vituko Vya Jumapili🏷️ #Vituko Vya Jumatano🏷️ #Vituko Vya Jumatatu🏷️ #Vituko Vya Katikati Ya Juma🏷️ #Vituko Vya Katikati Ya Wiki🏷️ #Vituko Vya Kileo🏷️ #Vituko Vya Kileo Tuu🏷️ #Vituko Vya Kimjin Mjini🏷️ #Vituko Vya Kisasa🏷️ #Vituko Vya Kisasa Tuu🏷️ #Vituko Vya Krismass🏷️ #Vituko Vya Kuadisia🏷️ #Vituko Vya Kujienjoi Leo🏷️ #Vituko Vya Kujienjoy Leo🏷️ #Vituko Vya Kukubadilisha Mood🏷️ #Vituko Vya Kukubadilisha Mudi🏷️ #Vituko Vya Kukuburudisha🏷️ #Vituko Vya Kukuchangamsha🏷️ #Vituko Vya Kukuchekesha🏷️ #Vituko Vya Kukuondoa Mawazo🏷️ #Vituko Vya Kukuondoa Stress🏷️ #Vituko Vya Kukupa Mood Mpya🏷️ #Vituko Vya Kukupa Mudi Mpya🏷️ #Vituko Vya Kukuparaha🏷️ #Vituko Vya Kushangaza🏷️ #Vituko Vya Kushare🏷️ #Vituko Vya Kutumia Watu🏷️ #Vituko Vya Kuwaadisia🏷️ #Vituko Vya Mchana Huu🏷️ #Vituko Vya Msimu🏷️ #Vituko Vya Msimu Huu🏷️ #Vituko Vya Mwaka Mpya🏷️ #Vituko Vya Pasaka Hii🏷️ #Vituko Vya Sikukuu Hii🏷️ #Vituko Vya Tanzania🏷️ #Vituko Vya Vijana🏷️ #Vituko Vya Wajanja🏷️ #Vituko Vya Wakaka Na Wadada🏷️ #Vituko Vya Wanawake Na Wanaume🏷️ #Vituko Vya Wasichana Na Wavulana🏷️ #Vituko Vya Watu Wote🏷️ #Vituko Vya Wazee🏷️ #Vituko Vya Weekend🏷️ #Vituko Vya Wikiendi🏷️ #Vituko Vya Xmass🌐 Swahili

Hii ndiyo Ladha ya bia zote usiyoijua

✍️ Melkisedeck Leon ShineπŸ“… 2015-08-19 15:17:00πŸ’¬ 236 comments⏱️ ~2 min read
πŸ“„ PDF

Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6..

Kwa wanywaji wazuri wa bia, chupa ya kwanza 🍺 huwa haileti hisia yoyote. Mnywaji humaliza chupa hiyo bila kuona matokeo yoyote zaidi ya kupoza koo… Na mara nyingi huwa mkimya, pengine huwa anasoma gazeti lake au kwa siku hizi anawasiliana na ndugu na jamaa kupitia simu yake. chupa ya pili 🍺🍺 kimsingi ndipo mazungumzo ya awali na wanywaji jirani huanza na haya huwa mazungumzo ya busara, yakihusu muelekeo wa ligi mbalimbali, siasa, idadi za ajali na kadhalika na wakati huu hata takwimu hutolewa zilizo sahihi…. Mtu anaweza kukutajia wachezaji wote wa ligi daraja la tatu la huko Ujerumani bila kukosea, hata idadi ya wachezaji wa Yanga bila kukosea.. Ila wakati huu kama unaanzisha mashindano ya kucheua ni wakati mzuri kwani bia ya pili huongeza hisia za kucheua. Bia ya tatu 🍺🍺🍺 huanza kumfanya mnywaji aanze kusikia furaha na pia huu huwa wakati ambapo karanga na korosho huliwa sana…. Pamoja na mazungumzo kuhusu mpira na siasa, ghafla mazungumzo kuhusu michepuko huanza kujitokeza….. Bia ya nne 🍺🍺🍺🍺 huanza kusababisha masikio yaanze kupoteza nguvu za kusikia kwani utaona mnywaji ghafla amepandisha sauti, na ukijumlisha na kuwa baa zetu huwa na muziki una kelele utadhani waliopo wote wana matatizo ya kusikia….. bia hii humsaidia kuongea kwa nguvu kushindana na kelele za muziki. Bia ya tano 🍺🍺🍺🍺🍺 ni hatari kidogo kwani ukiinuka kwenda chooni mara nyingi unarudi hujafunga zipu……na kipindi hiki ni kibaya kwa wanywaji wa kike maana unaweza kumkuta akienda chooni akijiangalia kwenye kioo anaanza kulia peke yake na kulalamika; β€˜Mi sipendwi mpaka leo sijaolewa’ au β€˜ Mume wangu sijui yukoje hanijali’ Japokuwa lazima isemwe ukweli ukifikisha bia hii, maisha ni raha sana unaweza ukaanzisha shoo ya kukata mauno katikati ya baa na kudai wewe ni mkali kuliko Shilole. Kuanzia bia ya sita 🍺🍺🍺🍺🍺🍺 na kuendelea, chochote utakachosema au kufanya ni wazi kesho yake asubuhi utajilaumu sana. ……. …Kuna watu husema ukilewa ndipo unakuwa mkweli, hivyo basi wakati huu hata bosi wako akitokeza unamueleza ukweli jinsi alivyo fala na hajui kuendesha kampuni. Au unasema ukweli jinsi unavyompenda mke wa jirani yako ambaye mmekaa mnakunywa naye. Kimsingi uwezekano wa kutapika pia upo karibu na kama umekaa na mchumba wako huu ni muda ambao pia uchumba unaweza kuvunjika…….
πŸ’¬

Discussion

Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.

236 comment(s)
πŸ” Login required to comment or reply

You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.

Log in to participate
S
Sharifa2016-09-18 02:11:41
πŸ˜‚ Hii kichekesho imenifurahisha siku nzima!
B
Betty Cheruiyot2016-09-02 21:29:08
Hii imenikuna hadi nina furaha! πŸ˜ŠπŸ˜‚
M
Mwafirika2016-08-31 23:43:09
Nilihitaji kicheko hiki, asante kwa kushiriki! πŸ˜…
M
Mariam2016-08-18 18:56:34
πŸ˜‚ Ninaituma hii kwa kila mtu ninayemjua!
J
John Lissu2016-07-31 09:52:17
Napenda jokes zenu! πŸ˜ŠπŸ˜…
C
Carol Nyakio2016-07-28 02:22:46
Nimecheka hadi nimepata furaha! πŸ˜ŠπŸ˜†
R
Ramadhan2016-07-18 01:17:22
😁 Imeongezwa kwenye vipendwa!
O
Omar2016-05-28 01:27:03
πŸ˜… Bado ninacheka!
L
Lucy Kimotho2016-04-15 05:34:26
Ucheshi wenu unanifurahisha kila siku! πŸ˜†πŸ˜„
K
Kenneth Murithi2016-04-05 02:59:07
πŸ˜„ Umeshinda mtandao leo!
F
Francis Mrope2016-03-26 19:14:21
🀣 Ninaituma sasa hivi!
J
Janet Mbithe2016-03-03 00:26:44
Hii joke ni ya kufurahisha! 🀣🀣
M
Monica Nyalandu2016-02-21 01:20:56
Hii ni kali sana! πŸ˜‚πŸ€£
C
Christopher Oloo2016-02-14 02:41:00
Kweli mna ucheshi wa hali ya juu! πŸ˜‚πŸ€£
B
Bahati2016-01-29 06:20:26
😁 Hii ni hazina ya kichekesho!
P
Paul Kamau2016-01-21 06:28:05
Siwezi kuamini jinsi hii ni kichekesho! πŸ˜‚
P
Philip Nyaga2016-01-19 03:35:07
Ucheshi wenu unanifurahisha sana! πŸ˜‚πŸ‘
J
Jane Muthoni2016-01-15 10:36:23
Kweli mna kipaji cha ucheshi! πŸ‘πŸ˜†
L
Lucy Kimotho2015-12-30 18:44:51
Hii imenipa kicheko cha siku! πŸ˜ŠπŸ˜†
A
Azima2015-12-08 10:03:49
Asante Ackyshine