Mchungaji Kauliza: Yeyote mwenye pingamizi la haki kwa ndoa hii asimame na aje mbele.Mara kasimama kibabu na kwenda mbele, bibi harusi alipomuona tu yule babu akazimia.Mchungaji akauliza: tueleze pingamizi lakoKibabu kikajibu: Nimeamua kuja mbele kwasababu kule nyuma sisikii!!!.kanisa zima hoi,
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Breaking news π₯Watu wasiojulikana wamevamia jengo lisilojulikana naKufanya tukio lisilo julikana na kukimbiliaππΏ kusiko julikana na mpaka sasa hakuna β¦
Kubarikiwa ni Kutokutindikiwa na kuwa na matumaini ya siku zijazo. Kubarikiwa ni kuwa na amani, furaha, na matumaini katika maisha ya sasa na yajayo. β¦
Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiangaika kupata aina ya nguo za kuvaa tena hasa wanawake wanene, kutokana na maumbo yao wanaona ni kazi sana kutafuta β¦
Jumapili baada ya kutoka KANISANI, Pastor akaona simu yangu niliyonunua LAKI 5,akaniuliza hiyo simu umenunua Bei gani?Kwakuwa natoaga sadaka kidogo,naβ¦
1. Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara.Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba yake.2.β¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate