Dogo: mama hivi malaika si wanapaa?
Mama: ndiyo wanapaa, kwanini umeniuliza hivyo?
Dogo: nimesikia baba jana anamuita dada (housegir) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa?
Mama: ndiyo atapaa kuelekea kijijini kwao kesho, pumbavu zake.
Dogo: mama hivi malaika si wanapaa? Mama: ndiyo wanapaa, kwanini umeniuliza hivyo? Dogo: nimesikia baba jana anamuita dada (housegir) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa? Mama: ndiyo atapaa kuelekea kijijini kwao kesho, pumbavu zake.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Jamaa mmoja dereva wa bajaji alianguka, sasa bajaji ikawa imem'bana akawa anafurukuta bila mafanikio Cha ajabu watu wakawa wanampita bila kumsaidia, Kβ¦
Siku moja msichana alikuwa anapita maeneo ya A.T.M gafla akamuona boyfriend wake anatoa pesa kwenye A.T.M binti akaamua kujificha na kumtumia boyfrienβ¦
Wazazi wengine wanaandika MBWAβMKALI kwenye geti lao kama binti wao ana miaka 18..Binti akifika miaka 30 na hajaolewa wanapabadilisha na kuandika TUNAβ¦
Siku niliposoma hili andiko kwa mara ya kwanza nakumbuka, kwanza nilipata mshtuko flani baada ya kulisoma, halafu nikajikuta nikitafakari vitu vingi sβ¦
DOGO: Mama Jana Baba Alikuja Na Mwanamke NaAkaanza Kumtoa Nguo Huku Akimuita Beibβ¦BABA: Kwa Hasira Ebu Wacha Kuongea Na Chakula Mdomoni Wewe Mpumbavu β¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate