Katekista ni mlei aliyechaguliwa na Kanisa ili kumfanya Kristo ajulikane, apendwe, na kufuatwa na wale ambao hawajamfahamu na pia waamini
Waraka wa Baba Mtakatifu Unatafsiri vipi Makatekista?
Waraka unasema;
1. Makatekista ni Wafanyakazi maalimu
2. Mashahidi wa moja kwa moja, Wainjilishaji wasio na mbadala
Mkusanyo Sheria Kanuni za Kanisa unaelezaje kuhusu Makatekista?
Unaeleza kuwa - Makatekista ni Walei Wakristo ambao wamepewa malezi halisi na wanajitokeza vizuri katika maisha ya Ukristo wao.
Chini ya Uongozi wa Kanisa Katekista anafanya Kazi gani?
1. Yeye ni Kiungo cha Mapadre na waamini wa eneo lake
2. Kufikisha mafundisho ya Injili na kuhusika kwenye kazi za Ibada za kiliturujia na kazi za Huruma
3. Kuhubiri na kuwafundisha wakatekumeni
4. Kuelimisha vijana na watu wazima kkatika maswala ya Imani
5. Kuongoza Sala za Jumuiya hasa kwenye Ibada za Jumapili Ikiwa Padre hayupo
6. Kuwatembelea wagonjwa na kuwasaidia na kuongoza Ibada za Mazishi
7. Kufundisha dini mashuleni na kuwaandaa watoto katika kupokea Sakramenti mbalimbali
8. Kutembelea Jumuiya ndogondogo kuziendeleza na kuziimarisha
Katekista ni nani? Katekista ni mlei aliyechaguliwa na Kanisa ili kumfanya Kristo ajulikane, apendwe, na kufuatwa na wale ambao hawajamfahamu na pia waamini Waraka wa Baba Mtakatifu Unatafsiri vipi Makatekista? Waraka unasema; 1. Makatekista ni Wafanyakazi maalimu 2. Mashahidi wa moja kwa moja, Wainjilishaji wasio na mbadala Mkusanyo Sheria Kanuni za Kanisa unaelezaje kuhusu Makatekista? Unaeleza kuwa - Makatekista ni Walei Wakristo ambao wamepewa malezi halisi na wanajitokeza vizuri katika maisha ya Ukristo wao. Chini ya Uongozi wa Kanisa Katekista anafanya Kazi gani? 1. Yeye ni Kiungo cha Mapadre na waamini wa eneo lake 2. Kufikisha mafundisho ya Injili na kuhusika kwenye kazi za Ibada za kiliturujia na kazi za Huruma 3. Kuhubiri na kuwafundisha wakatekumeni 4. Kuelimisha vijana na watu wazima kkatika maswala ya Imani 5. Kuongoza Sala za Jumuiya hasa kwenye Ibada za Jumapili Ikiwa Padre hayupo 6. Kuwatembelea wagonjwa na kuwasaidia na kuongoza Ibada za Mazishi 7. Kufundisha dini mashuleni na kuwaandaa watoto katika kupokea Sakramenti mbalimbali 8. Kutembelea Jumuiya ndogondogo kuziendeleza na kuziimarisha
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
52 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Usiogope wala usisite kutubu na kuomba msamaha kwa Mungu. Uwe na Amani na Matumaini katika Huruma ya Mungu itokayo katika Upendo wake wa Mfano wa babaβ¦
Ili kufanya ngozi yako kuwa laini bila madoa zingatia mambo haya yafuatayo;1.TUMIA ANTIOXIDANT SERUM.Sio kila mtu ana bahati ya kupata ngozi laini na β¦
Inashauriwa kwamba kabla ya kuchukuwa uamuzi wa kwenda kununua vifaa husika ambavyo utavitumia unapaswa kufahamu aina ya kucha ili uweze kununua vifaaβ¦
SEHEMU YA KWANZA1.0 UTANGULIZIVipodozi visivyo salama ni vipodozi ambavyo vina kemikali zinadhuru au zinazoweza kuudhuru mwili na kuusababishia matatiβ¦
Utangulizi Mungu anapenda kutenda jambo baada ya mtu kumuomba/kusali ili mtu aelewe Ukuu wa Mungu na ili Mungu atukuzwe. Kama kila kitu mtu anachotakaβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate