Jamaa fulani alikuwa ame2lia beach mzungu akapita akamuliza "Are u relax ? Jamaa akawa hamuelewi akamjibu No! Mzungu mwengine akapita akamuliza vilevile akajibu No!
Akaona hapa anasumbuliwa akasogea mbele kidogo ya maji akamuona mzungu mmoja alikuwa ame2lia. Akamuliza "are u relax? Mzungu akajibu yes jamaa akamkata makofi mawili na kumwambia kumbe we ndo relax inuka unatafutwa na wenzakoβ¦..Shenz mkubwa mie nasumbuliwa na wenzako kule we umejikausha!!
Jamaa fulani alikuwa ame2lia beach mzungu akapita akamuliza "Are u relax ? Jamaa akawa hamuelewi akamjibu No! Mzungu mwengine akapita akamuliza vilevile akajibu No!Akaona hapa anasumbuliwa akasogea mbele kidogo ya maji akamuona mzungu mmoja alikuwa ame2lia. Akamuliza "are u relax? Mzungu akajibu yes jamaa akamkata makofi mawili na kumwambia kumbe we ndo relax inuka unatafutwa na wenzakoβ¦..Shenz mkubwa mie nasumbuliwa na wenzako kule we umejikausha!!
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Vipimo - Mahitaji Ya NyamaNyama ya nβgombe ya mifupa - 3 lbTangawizi mbichi ilosagwa - 1 kijiko cha supuKitunguu thomu - 1 kijiko cha supuBizari ya piβ¦
Siku moja nilichukua taxi aina ya UBER nikiwa naelekea uwanja wa Ndege Mwl. Nyerere Dereva huku akiendesha kwa ustaarabu sana mara ghafla pasipo kutegβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate