Hata kama ni Mgeni this is too much.
Mwenyeji: Karibu mgeni karibu ukae,utapenda chai au soda?
Mgeni: Nipe nianze na soda wakati chai inachemka.
Mwenyeji: Utakunywa fanta au sprite?
Mgeni: Nipe fanta wakati sprite inapoa.
Mwenyeji: Utakunywa na keki au mkate?
Mgeni: Nipe keki mkate nitanywea chai ikishachemka.
Mwenyeji: Utapendelea ndiz au machungwa,
Mgeni: Nipe machungwa ndizi ntakula na wali
mchana.
Chezea mgeni ww.!!!
Hata kama ni Mgeni this is too much. Mwenyeji: Karibu mgeni karibu ukae,utapenda chai au soda? Mgeni: Nipe nianze na soda wakati chai inachemka. Mwenyeji: Utakunywa fanta au sprite? Mgeni: Nipe fanta wakati sprite inapoa. Mwenyeji: Utakunywa na keki au mkate? Mgeni: Nipe keki mkate nitanywea chai ikishachemka. Mwenyeji: Utapendelea ndiz au machungwa, Mgeni: Nipe machungwa ndizi ntakula na wali mchana. Chezea mgeni ww.!!!
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Utangulizi Mbaazi ni zao la chakula ambalo pia linaweza kulimwa kama zao la biashara kutokana na kuwa na soko zuri la Mbaazi.Mbaazi ina kiasi kikubwa β¦
Ishara ya Msalaba ni tendo la mtu kugusa paji la uso, kifua na mabega kwa kutumia mkono wa kulia na kutamka 'Kwa Jina la Baba, na la Mwana na la Roho β¦
Kila kitu ni mali ya Mungu.Kuwa na Mungu ni kuwa na kila kitu.Hata mimi mwenyewe ni mali ya Mungu.Kitu kimoja tu nina hakika nacho kwamba ni mali yangβ¦
Kiingereza shidaaaaβ¦β¦!Mwalimu wa chakula alipokuwa anaongea na wapishi akiwaeleza maharage kutoungwa vizurTcha: these beans are not well connected,,ππβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate