Jumapili baada ya kutoka KANISANI, Pastor akaona simu yangu niliyonunua LAKI 5,akaniuliza hiyo simu umenunua Bei gani?
Kwakuwa natoaga sadaka kidogo,na ZAKA ndo sijawahi kutoa,Nikamjibu nimenunua JANA,ELFU 50, akanipa LAKI MOJA,nikanunue mbili,yake na ya mke wake. Sa najaribu kumuuliza Mungu,kwanini kaamua kuniadhibu mbele ya mchungaji bila hata kunionya!
Jumapili baada ya kutoka KANISANI, Pastor akaona simu yangu niliyonunua LAKI 5,akaniuliza hiyo simu umenunua Bei gani?Kwakuwa natoaga sadaka kidogo,na ZAKA ndo sijawahi kutoa,Nikamjibu nimenunua JANA,ELFU 50, akanipa LAKI MOJA,nikanunue mbili,yake na ya mke wake. Sa najaribu kumuuliza Mungu,kwanini kaamua kuniadhibu mbele ya mchungaji bila hata kunionya!
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
VIAMBAUPISHIUnga 6 VikombeSukari ya kusaga 2 vikombeSiagi 500 gmBaking powder 1 Kijiko cha chaiKastadi Β½kikombeMAPISHIKoroga siagi na sukari katika maβ¦
1. Awe na pesa nyingi2.Siyo lazima awe mzuri wa sura3. Ajenge ukweni4.Awe mpole5.Asimuonee wivu mke wake6.Awe mwenye upendo wa dhati7.Asishike simu yaβ¦
1, mwanaume kuoga haraka haraka ili uwahi kuangalia igizo, huo ni UMAMA..π2, mwanaume kupiga picha umeng'ata Lips na Unapiga na Camera Beauty Plus huoβ¦
Wakatoliki tunamwabudu Mungu kwa namna gani? Tunamwabudu Mungu kwa sala , sadaka na matendo mema Je, tuna ruhusa ya kuwaabudu Watakatifu? Hatuna ruhusβ¦
1. Huwezi kubadili namna watu walivyokutendea mpaka ubadili namna unavyowatendea.βMatayo 7:12;"Basi yote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni β¦
Breaking news π₯Watu wasiojulikana wamevamia jengo lisilojulikana naKufanya tukio lisilo julikana na kukimbiliaππΏ kusiko julikana na mpaka sasa hakuna β¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate