ACKYSHINE ARTICLES Β· PUBLIC LIBRARY

πŸ“š Mafundisho ya Katekisimu

Browse published Articles by category, tag or language. Random discovery is the default and keeps a stable order while you move through pages.

Reset
ACKYSHINE ARTICLE Β· #940

Mambo ya Msingi kufahamu kuhusu Ndoa ya Kikatoliki

Mafundisho ya Katekisimu#Karibu AckySHINE#Katoliki: Imani ya Kanisa Katoliki#Katoliki: Sakramenti ya Ndoa Takatifu

Sakramenti ya ndoa ndio yenye kuwaunganisha wakristo wawili mume namke waliopendana kwa hiari bila shuruti au vitisho au kizuizi kwa kuwapa neema ya kuishi pamo…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #489

Amri ya nne ya Mungu: Kuheshimu Wazazi

Mafundisho ya Katekisimu#Karibu AckySHINE#Katoliki: Amri za Mungu

Katika Amri ya nne ya Mungu tumeamriwa nini? Tumeamriwa tuwaheshimu wazazi wetu na wakubwa wetu wote, tuwapende, tuwatii na tuwaombee. (Kut 20:12, Kol 3:20) Amr…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #942

Mafundisho kuhusu Binadamu, Mtu na Utu

Mafundisho ya Katekisimu#Karibu AckySHINE#Katoliki: Imani ya Kanisa Katoliki#Katoliki: Kanisa Katoliki

Tumeumbwa kwa mfano na sura ya Mungu maana yake tuna roho zenye akili na utashi yaani uwezo wa kutofautisha mema namabaya, na zitakazoishi milele.

ACKYSHINE ARTICLE Β· #990

Maswali na Majibu kuhusu dhamira

Mafundisho ya Katekisimu#Karibu AckySHINE#Katoliki: Dhamira

Dhamiri adilifu ni nini? Dhamiri adilifu, iliyo ndani kabisa mwa mtu, ni uamuzi wa akili ambao kwa wakati wake unamuagiza mtu atende mema na kukwepa maovu Katik…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #939

Mafundisho kuhusu Neema

Mafundisho ya Katekisimu#Karibu AckySHINE#Katoliki: Imani ya Kanisa Katoliki#Katoliki: Kanisa Katoliki

Neema ni nini? Neema ni kipaji cha roho kinachopita nguvu za viumbe vyote; ndicho kipaji tupewacho na Roho Mtakatifu ili tupate uzima wa milele. (Lk 1:30, Rum 5…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #967

Maswali na Majibu kuhusu Kifo

Mafundisho ya Katekisimu#Karibu AckySHINE#Katoliki: Hukumu ya Mwisho#Katoliki: Kifo

Motoni ni nini? Motoni ni makao mabaya kwa Shetani walaaniwa wakaapo mbali na Mungu wakiteswa milele. (Mt 25:41, Mik 9:42-43, 1Yoh 14:15) Uzima wa milele ni nin…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #969

Maswali na Majibu kuhusu Karama

Mafundisho ya Katekisimu#Karibu AckySHINE#Katoliki: Karama za Roho Mtakatifu#Katoliki: Roho Mtakatifu

Tunda la kuongozwa na Roho Mtakatifu ni lipi? Tunda la kuongozwa na Roho Mtakatifu ni umoja wa Kanisa unaotokana na ustawi wa upendo na vipaji ndani ya waamini.

ACKYSHINE ARTICLE Β· #994

Maswali na Majibu kuhusu Biblia

Mafundisho ya Katekisimu#Karibu AckySHINE#Katoliki: Biblia Takatifu

Neno Bwana lina maana gani katika Biblia? Neno Bwana Katika Biblia linamaanisha "Mungu Mtawala" Mapokeo ya Mitume ndiyo nini? Mapokeo ya Mitume ndiyo yale yote …