SALA YA KUOMBEA FAMILIA
Ewe Mungu Mwenyezi, sisi kama familia tunakushukuru kwa zawadi ya Mama Kanisa Ka...
Sala ya Asubuhi ya kila siku
Kwa jina la Baba…..Ee Baba yetu Mungu mkuu,umenilinda usiku huu.Nakushukuru kwa ...
SALA ZA IBADA KWA BIKIRA MARIA WA MATESO
ROZARI YA MATESO SABA YA BIKIRA MARIATumia Rozari ya Mateso Saba ya Bikira Maria...
SALA YA UHAI KWA MT. YOSEFU
Ee Mt. Yosefu, wewe ni Mchumba safi na Mpenzi wa Bikira Maria, u Baba Mlishi wa ...
SALA YA MTAKATIFU INYASI
Roho ya Kristo unitakaseMwili wa Kristo uniokoeDamu ya Kristo unifurahisheMaji y...
LITANIA YA MOYO MTAKATIFU WA YESU
Bwana utuhurumie Bwana utuhurumieKristo utuhurumie Kristo utuhurumieBwana utuhur...
Sala kwa wenye kuzimia
Ee Yesu mwenye huruma, mpenda roho za watu, nakuomba kwa ajili ya kuzimia kwa Mo...
KUJIWEKA CHINI YA ULINZI WA MT. YOSEFU
Ee Mt. Yosefu, Baba Mlishi wa Mwokozi wangu, na mchumba safi wa Mama wa Mungu, l...
ROZARI YA MATESO SABA YA BIKIRA MARIA
Tumia Rozari ya Mateso Saba ya Bikira Maria iliyo na mafungu 7 yaani mateso 7 ye...
SALA KWA BIKIRA MARIA KATIKA UKIWA WAKE
Nakusikitikia sana Mama Mtakatifu Maria kwa sababu ya ukiwa wako mkuu. Uchungu w...
Kumbuka ee Bikira Mwenye Rehema
...
SALA YA MAPENDO
Mungu wangu, nakupenda zaidi ya cho chote, kwani ndiwe mwema, ndiwe mwenye kupen...
SALA YA KUWAOMBEA MAPADRE
Ee Bwana Yesu Kristo. Mkombozi wetu, kwa mapendo na tamaa yako ya kutaka kulinda...
Sala ya kuomba Kifo chema
Enyi Yesu na Maria na Yosefu,nawatolea Moyo, na roho, na uzima wangu. Enyi Yesu ...
SALA ZA KUMWABUDU YESU KATIKA EKARISTI TAKATIFU
Ee Yesu Kristu,/ Bwana wangu na Mungu wangu/ ambaye ninasadiki kuwa upo hapa/ ka...
Litani ya Bikira Maria
Ee Bwana Mungu, utujalie sisi watumishi wako afya ya roho na mwili siku zote; na...
SALA MBELE YA KITI CHA ENZI CHA MUNGU
Sali Atukuzwe 7 kwa heshima ya Malaika 7 wateule ujipatie neema ya kuepa dhambi ...
Kuweka nia njema
Kumheshimu Mungu wangu, Namtolea roho yangu, Nifanye kazi nipumzike, Amri zake t...
ROZARI, MATENDO NA LITANI YA MAMA BIKIRA MARIA
Anza kusali Rozari kwa kuibusu miguu ya Bwana Yesu katika taswira (picha) yake M...
Sala fupi ya Asubuhi
Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu Mwenyezi, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, milele...
SALA YA KUMWABUDU BWANA YESU KATIKA SAKRAMENTI TAKATIFU
Ee Yesu Kristu,/ Bwana wangu na Mungu wangu/ ambaye ninasadiki kuwa upo hapa/ ka...
SALA WAKATI WA KUJIBARIKI NA MAJI YA BARAKA
Kwa njia ya Maji haya ya Baraka, na kwa njia ya Damu yako azizi, na kwa maombezi...
Sala kwa Mtakatifu Yosefu
Ee Yosef mwenye heri, tunakimbilia kwako, katika masumbuko yetu, na kishaomba sh...
SALA YA MATUMAINI
Mungu wangu, natumaini kwako nitapewa kwa njia ya Yesu Kristu, neema zako dunian...
SALA KWA MT. YOSEFU KWA AJILI YA KULIOMBEA KANISA LA MAHUJAJI
Ee Mtukufu Mt. Yosefu, ulichaguliwa na Mungu kuwa Baba Mlishi wa Yesu, mchumba s...
ATUKUZWE BABA
Atukuzwe Babana Mwanana Roho MtakatifuKama mwanzona sasa,na siku zote,na milele....
LITANIA YA KUWAOMBEA MAPADRE WOTE II
Kwa ajili ya Baba Mtakatifu wetu ..(N); Bwana, umpe moyo wako wa uchungaji mwema...
Malkia wa Mbingu
Malkia wa mbingu, furahi, aleluya. Kwani uliyestahili kumchukua, Aleluya. Amefuf...
ROZARI YA MOYO MTAKATIFU WA YESU
Tumia tasbihi ya kawaida yenye chembe ndogo 53.Kwenye Msalaba Sali:“Ee Yesu tupe...
SALA YA NOVENA YA SIKU TISA KWA MT. YOSEFU, YA ZAMANI, MIAKA 1900 ILIYOPITA
Sala hii ilipatikana katika mwaka wa hamsini wa Bwana na Mwokozi Wetu Yesu Krist...
SALA MBELE YA SAKRAMENTI KUU II
Yesu, Mungu wangu mpenzi,/ upo hapa katika Altare mbele yangu;/ na mimi napiga m...
SALA YA BWANA: SALA YA BABA YETU
Baba yetu uliye mbinguniJina lako litukuzweUfalme wako ufikeUtakalo lifanyikeDun...