SALA KWA MT. YOSEFU KWA WASIO NA AJIRA WAPATE AJIRA
Ee Mt. Yosefu, tunakuomba kwa ajili ya wale asio na ajira, kwa ajili ya wale wan...
Kanuni ya imani
Nasadiki kwa Mungu, Baba Mwenyezi,/ mwumba mbingu na dunia./ Na kwa Yesu Kristu,...
ROZARI YA MATESO SABA YA BIKIRA MARIA
Tumia Rozari ya Mateso Saba ya Bikira Maria iliyo na mafungu 7 yaani mateso 7 ye...
SALA YA KUTUBU
Mungu wangu ninatubu sana, niliyokosa kwako, kwani ndiwe mwema, ndiwe mwenye kup...
SALA YA NOVENA KWA MOYO MTAKATIFU WA YESU
Ee Moyo Mtakatifu sana wa Yesu, chemchemi ya kila baraka, ninakuabudu, ninakupen...
Kuweka nia njema
Kumheshimu Mungu wangu, Namtolea roho yangu, Nifanye kazi nipumzike, Amri zake t...
SALA YA MATUMAINI
Mungu wangu, natumaini kwako nitapewa kwa njia ya Yesu Kristu, neema zako dunian...
Sala fupi ya Asubuhi
Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu Mwenyezi, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, milele...
SALA YA KUMWOMBA MTAKATIFU TERESIA WA MTOTO YESU
Ee Mtakatifu Teresia wa mtoto Yesu, ulistahili kuitwa Msimamizi wa misioni katol...
Malkia wa Mbingu
Malkia wa mbingu, furahi, aleluya. Kwani uliyestahili kumchukua, Aleluya. Amefuf...
Sala ya Kuombea Hali njema ya hewa na mvua
Ee Mungu Mwenyezi wa milele, mpaji wa mema yote, unayetusamehe na kutulinda. Utu...
SALA KWA BIKIRA MARIA KATIKA UKIWA WAKE
Nakusikitikia sana Mama Mtakatifu Maria kwa sababu ya ukiwa wako mkuu. Uchungu w...
SALA YA KUWAOMBEA MAPADRE
Ee Bwana Yesu Kristo. Mkombozi wetu, kwa mapendo na tamaa yako ya kutaka kulinda...
AMRI ZA MUNGU
1. NDIMI BWANA MUNGU WAKO, USIABUDU MIUNGU WENGINE.2. USILITAJE BURE JINA LA MUN...
NOVENA KWA AJILI YA KUJIANDAA KWA SIKUKUU YA MOYO MTAKATIFU WA YESU
Inaweza kusemwa wakati wowote katika mwaka. Kwa ajili ya kujiandaa kwa Sikukuu y...
Sala ya Usiku kabla ya kulala
Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina.SALA YA KUSHUKURUTunaku...
SALA WAKATI WA KUJIBARIKI NA MAJI YA BARAKA
Kwa njia ya Maji haya ya Baraka, na kwa njia ya Damu yako azizi, na kwa maombezi...
Sala ya Saa Tisa
✝⌚✝Sala ya saa tisa🙏🏾Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. A minaYe...
SALA KWA MTAKATIFU MIKAELI MALAIKA MKUU
Mtakatifu Mikaeli Malaika Mkuu, utulinde katika vita, uwe kinga yetu katika maov...
SALA YA MTU ALIYEKABILIWA NA MATATIZO MBALIMBALI
Ewe Mtakatifu Yuda Tadei,/ mtume mtukufu na shahidi wa Kristo,/ umesifika pote k...
LITANIA YA KUWAOMBEA MAPADRE WOTE II
Kwa ajili ya Baba Mtakatifu wetu ..(N); Bwana, umpe moyo wako wa uchungaji mwema...
ROSARI YA BIKIRA MARIA MAMA WA MSAADA WA DAIMA
Namna ya kusali Rozari kwa Bikira Maria Mama wa Msaada wa Daima(Tumia rosari ya ...
LITANIA YA KUWAOMBEA MAPADRE WOTE 1
Kwa ajili ya Baba Mtakatifu wetu ..(N); Bwana, umpe moyo wako wa uchungaji mwema...
SALA YA MAOMBI KWA MOYO MTAKATIFU WA YESU
Ee Moyo Mtakatifu wa Yesu, ninakukimbilia, ninakuja kwako katika mikono yako yen...
SALA KWA MTAKATIFU YUDA TADEI
Mtakatifu Yuda Tadei,/ Mtume Mtakatifu,/ mtumishi mwaminifu na rafiki wa Yesu./ ...
SALA MBELE YA SAKRAMENTI KUU II
Yesu, Mungu wangu mpenzi,/ upo hapa katika Altare mbele yangu;/ na mimi napiga m...
SALA YA KUUABUDU MOYO MTAKATIFU WA YESU KATIKA EKARISTI TAKATIFU
Kwa nguvu zangu zote za moyo wangu/ ninakuabudu ee Moyo Mtakatifu/ na Mwabudiwa ...
SALA YA JIONI
TUWAZE KATIKA MOYO WETU MAKOSA YA LEO TULIYOMKOSEA MUNGU KWA MAWAZO,KWA MANENO, ...
SALA KWA MALAIKA WAKO MLINZI
Malaika wa Mungu Mlinzi wangu mpenzi,Ambaye upendo wake unanifanya niwepo hapa,U...
SALA MBELE YA KITI CHA ENZI CHA MUNGU
Sali Atukuzwe 7 kwa heshima ya Malaika 7 wateule ujipatie neema ya kuepa dhambi ...
Sala kwa Mtakatifu Yosefu
Ee Yosef mwenye heri, tunakimbilia kwako, katika masumbuko yetu, na kishaomba sh...
ROZARI YA MOYO MTAKATIFU WA YESU
Tumia tasbihi ya kawaida yenye chembe ndogo 53.Kwenye Msalaba Sali:“Ee Yesu tupe...