SALA YA KUMWOMBA MT. YOSEFU MSAADA (SALA KUU KWA MTAKATIFU YOSEFU)
Ee Mt. Yosefu mwenye heri, tunakimbilia kwako katika masumbuko yetu, na kisha om...
AMRI ZA MUNGU
1. NDIMI BWANA MUNGU WAKO, USIABUDU MIUNGU WENGINE.2. USILITAJE BURE JINA LA MUN...
ROZARI YA MOYO MTAKATIFU WA YESU
Tumia tasbihi ya kawaida yenye chembe ndogo 53.Kwenye Msalaba Sali:“Ee Yesu tupe...
NOVENA YA ROHO MTAKATIFU KWA SIKU ZOTE TISA
Ufuatao ni mtiririko wa Novena ya Roho Mtakatifu kwa siku zote tisa.Kusali noven...
Kumbuka ee Bikira Mwenye Rehema
...
LITANIA YA KUWAOMBEA MAPADRE WOTE 1
Kwa ajili ya Baba Mtakatifu wetu ..(N); Bwana, umpe moyo wako wa uchungaji mwema...
Sala ya Malaika wa Bwana
Malaika wa Bwana alimpasha habari Maria, naye akapata mimba kwa uwezo wa Roho Mt...
LITANIA YA BIKIRA MARIA MAMA WA MATESO
Bwana utuhurumie Bwana utuhurumieKristo utuhurumie Bwana utuhurumieBwana utuhuru...
SALA YA MTU ALIYEKABILIWA NA MATATIZO MBALIMBALI
Ewe Mtakatifu Yuda Tadei,/ mtume mtukufu na shahidi wa Kristo,/ umesifika pote k...
SALA KWA BIKIRA MARIA KATIKA UKIWA WAKE
Nakusikitikia sana Mama Mtakatifu Maria kwa sababu ya ukiwa wako mkuu. Uchungu w...
SALA YA BWANA: SALA YA BABA YETU
Baba yetu uliye mbinguniJina lako litukuzweUfalme wako ufikeUtakalo lifanyikeDun...
Sala kwa Mtakatifu Yosefu
Ee Yosef mwenye heri, tunakimbilia kwako, katika masumbuko yetu, na kishaomba sh...
SALA MUHIMU ZA MKRISTO ZA KILA SIKU ASUBUHI
Ee Utatu Mtakatifu wa Mwenyezi Mungu, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, nasadiki ku...
Novena ya Noeli
Novena ya Noeli (maarufu kama novena ya Mt. Andrea)Husaliwa kuanzia tar 30 Nov h...
KUJIWEKA CHINI YA ULINZI WA MT. YOSEFU
Ee Mt. Yosefu, Baba Mlishi wa Mwokozi wangu, na mchumba safi wa Mama wa Mungu, l...
Sala ya kuomba Kifo chema
Enyi Yesu na Maria na Yosefu,nawatolea Moyo, na roho, na uzima wangu. Enyi Yesu ...
SALA YA JIONI
TUWAZE KATIKA MOYO WETU MAKOSA YA LEO TULIYOMKOSEA MUNGU KWA MAWAZO,KWA MANENO, ...
SALA ZA KUMWABUDU YESU KATIKA EKARISTI TAKATIFU
Ee Yesu Kristu,/ Bwana wangu na Mungu wangu/ ambaye ninasadiki kuwa upo hapa/ ka...
Sala fupi ya Asubuhi
Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu Mwenyezi, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, milele...
SALA YA KUMWOMBA MTAKATIFU TERESIA WA MTOTO YESU
Ee Mtakatifu Teresia wa mtoto Yesu, ulistahili kuitwa Msimamizi wa misioni katol...
SALA YA NOVENA KWA MOYO MTAKATIFU WA YESU
Ee Moyo Mtakatifu sana wa Yesu, chemchemi ya kila baraka, ninakuabudu, ninakupen...
SALA YA KUWAOMBEA MAPADRE
Ee Bwana Yesu Kristo. Mkombozi wetu, kwa mapendo na tamaa yako ya kutaka kulinda...
Sala ya Usiku kabla ya kulala
Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina.SALA YA KUSHUKURUTunaku...
Sala ya Asubuhi ya kila siku
Kwa jina la Baba…..Ee Baba yetu Mungu mkuu,umenilinda usiku huu.Nakushukuru kwa ...
LITANIA YA MOYO MTAKATIFU WA YESU
Bwana utuhurumie Bwana utuhurumieKristo utuhurumie Kristo utuhurumieBwana utuhur...
SALA YA MAOMBI KWA MOYO MTAKATIFU WA YESU
Ee Moyo Mtakatifu wa Yesu, ninakukimbilia, ninakuja kwako katika mikono yako yen...
SALA MBELE YA SAKRAMENTI KUU I
Utukuzwe ee Bwana wangu Yesu Kristo./ Uliagua kifo chako./ Katika karamu ya mwis...
SALA KWA MT. YOSEFU KWA WASIO NA AJIRA WAPATE AJIRA
Ee Mt. Yosefu, tunakuomba kwa ajili ya wale asio na ajira, kwa ajili ya wale wan...
Majitoleo kwa Bikira Maria
(Sala iliyotungwa na Mtk. Aloisi)Bibi yangu mtukufu Maria, nakuwekea amana ya ro...
NOVENA KWA AJILI YA KUJIANDAA KWA SIKUKUU YA MOYO MTAKATIFU WA YESU
Inaweza kusemwa wakati wowote katika mwaka. Kwa ajili ya kujiandaa kwa Sikukuu y...
Novena ya Siku tisa kwa Mtakatifu Agustino wa Hippo: Sala zote na Litania
Pamoja na Mtakatifu Augustino tunasema “ Umetuumba kwa ajili yako ee Bwana, kwan...
Majitoleo ya asubuhi kwa Bikira Maria
Ee Yesu, kupitia mikono safi ya Bikira Maria, na kwa maungano na sadaka yako kuu...