ACKYSHINE ARTICLES Β· PUBLIC LIBRARY

πŸ“š SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako

Browse published Articles by category, tag or language. Random discovery is the default and keeps a stable order while you move through pages.

Reset
ACKYSHINE ARTICLE Β· #2361

SMS nzuri ya kumtakia mpenzi wako asubuhi njema

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako#Karibu AckySHINE#Meseji Bomba Kali Za Mahaba#Meseji Bomba Kali Za Mapenzi

Katika maisha nimejifunza mambo mengi ikiwemo,. Kupendwa, kupenda, kusamehe, kuvumilia, lakini nimeshindwa kujifunza kukusahau wewe kwa sababu umekuwa ukinikumb…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #32042

Meseji ya kumwambia mpenzi unampenda peke yake

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako#Meseji Bomba Kali Za Mahaba#Meseji Bomba Kali Za Mapenzi#Meseji Bomba Tamu Za Mahaba

mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahabasili nikamaliza,mapenzi ni raha kamwe cwezkuipeza,nakupenda wewe pekee

ACKYSHINE ARTICLE Β· #186

SMS nzuri ya kimahaba kueleza kuhusu penzi

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako#Meseji Bomba Kali Za Mahaba#Meseji Bomba Kali Za Mapenzi#Meseji Bomba Tamu Za Mahaba

penzi linaweza kuelezewa kwa namna nyingi. Namna mojaniijuayo nikumtumia mapenzi hayo mtu asomaye meseji hii

ACKYSHINE ARTICLE Β· #249

SMS ya kumtumia mpenzi wako kumshukuru kwa salamu

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako#Meseji Bomba Kali Za Mahaba#Meseji Bomba Kali Za Mapenzi#Meseji Bomba Tamu Za Mahaba

Salamu yako ni nusu ya uhai wangu, kuikosa nisawa na kuidhulumu nafsi yangu, kuipata nisawa na ua ridi machoni mwangu, nakila ninapoipata huwa najisikia faraja …

ACKYSHINE ARTICLE Β· #158

SMS ya kumuomba umpendaye akukubalie

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako#Meseji Bomba Kali Za Mahaba#Meseji Bomba Kali Za Mapenzi#Meseji Bomba Tamu Za Mahaba

pindi nikukumbukapo chozi langu huwa linatoka bilasababu,kasi Ya mapigo ya moyo Huongezea PasipoSababu,nimegundua Nakuhtaji Naomba Unikubalie.

ACKYSHINE ARTICLE Β· #32045

Meseji ya kumahidi mpenzi wako kumpenda daima

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako#Meseji Bomba Kali Za Mahaba#Meseji Bomba Kali Za Mapenzi#Meseji Bomba Tamu Za Mahaba

Mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahabasili nikamaliza,nikimaliza nitakula nini kesho?nakuahidikukupenda leo hata kesho ukiwepo na hata usipok…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #189

SMS nzuri kuhusu maana ya mapenzi

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako#Meseji Bomba Kali Za Mahaba#Meseji Bomba Kali Za Mapenzi#Meseji Bomba Tamu Za Mahaba

mapenzi si pombe lkn yanalewesha, wala si kidonda lakiniyanatonesha,wala si maradhi lakini yanaumiza, wala sinjaa lakini yanakondesha ,mapenzi ni uvumilivu kwau…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #61

Ujumbe mzuri wa usiku mwema kwa umpendaye

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako#Meseji Bomba Kali Za Mahaba#Meseji Bomba Kali Za Mapenzi#Meseji Bomba Tamu Za Mahaba

Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani,Raha ya Ndege ujumbe nakupa mpelekeemwandani iwapo hukumkuta msubiri mlangoni,Usije ukaondoka hakuchinji asilani,Mwambi…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #32156

Meseji ya kumtumia dia wako kumuonyesha jinsi unavyompenda

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako#Meseji Bomba Kali Za Mahaba#Meseji Bomba Kali Za Mapenzi#Meseji Bomba Tamu Za Mahaba

ningependa nikuambie neno ambalo halina gharama naliku2miwa vbaya halna maana wala thaman. neno hlohaliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki ila 2Linat…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #124

Meseji ya kimahaba ya kumuuliza mpenzi wako kama anakupenda

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako#Meseji Bomba Kali Za Mahaba#Meseji Bomba Kali Za Mapenzi#Meseji Bomba Tamu Za Mahaba

Je unakubali au unakataa kwa mujibu wa sheria ya mahakamaya mapenzi kifungu cha mahaba unahukumiwa kuwa na mimimilele,unaweza kukata rufaa kama hujatendewa haki…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #126

SMS ya kumshawishi mtu kuwa una upendo wa dhati

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako#Meseji Bomba Kali Za Mahaba#Meseji Bomba Kali Za Mapenzi#Meseji Bomba Tamu Za Mahaba

moyo upendao kwa dhati.haujalish ni kababu au chapat.n wng wa upendo wenye tarakimu kama somo la hisabati.kumpata akupandae kwa dhati pia hyo n bahati.nimfikiri…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #31432

Ujumbe mzuri wa mapenzi kwa umpendaye akupende zaidi

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako#Meseji Bomba Kali Za Mahaba#Meseji Bomba Kali Za Mapenzi#Meseji Bomba Tamu Za Mahaba

Moyo wng mtiifu,2li ume2a kwako,kwang huna upungufu yote nimekupa hekoo,utunze na ulee pia uujali kama mama yako alivyofanya kwako.

ACKYSHINE ARTICLE Β· #32040

Ujumbe mzuri kwa umpendaye

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako#Meseji Bomba Kali Za Mahaba#Meseji Bomba Kali Za Mapenzi#Meseji Bomba Tamu Za Mahaba

kiangazi aumasikakukupenda nitawajibika kwenye chupa au birika chai yakoya uhakika ,iwe ndoo au pipa ujazo wa penzi kimiminika.