ACKYSHINE ARTICLES Β· PUBLIC LIBRARY

πŸ“š Dondoo za Urembo na Mitindo

Browse published Articles by category, tag or language. Random discovery is the default and keeps a stable order while you move through pages.

Reset
ACKYSHINE ARTICLE Β· #26363

Madhara ya Kuvaa viatu virefu

Dondoo za Urembo na Mitindo#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

NI wazi kuwa viatu virefu huvutia sana vinapo kuwa vimevaliwa.Tulio wengi hasa mabinti au wanawake tunaokwenda na wakati hupenda kuvaa viatu virefu ilikuongeza …

ACKYSHINE ARTICLE Β· #26390

Namna nzuri ya kutunza Hips na Makalio

Dondoo za Urembo na Mitindo#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

KUNA kitu ambacho wengi wetu huwa hawakifikirii nacho ni makalio. Makalio yetu ndiyo yanatoa shepu fulani kwa mwanamke katika vivazi na ukiyaachia ovyo yanaweza…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #26421

Namna ya uvaaji wa mavazi mbalimbali kwa wanaume

Dondoo za Urembo na Mitindo#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Wanaume wanajali mavazi yao pia, sio wanawake tu. Ila, mwanaume anabidi aelewe kwamba badala ya kufuata mitindo, kupendeza kwenye tukio lolote kuna nguo ambayo …

ACKYSHINE ARTICLE Β· #26393

Mambo ya Kuzingatia ili uwe mrembo siku zote

Dondoo za Urembo na Mitindo#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Katika Jamii nyingi duniani, dhana ya urembo imekuwa na mitazamo tofauti kwa watu wengi. Kila mmoja anautafakari urembo kwa namna yake kulingana na malezi na ta…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #6802

Jinsi ya Kujiremba Macho

Dondoo za Urembo na Mitindo#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF#Urembo na Mitindo: Wanawake

Kuna urembo mbalimbali wa macho kulingana na taste ya mtu na mapendeleo yake . Leo nitazungumzia "smoky eyes" au macho yaliyapambwa kwa eye liner, mascara na ey…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #26295

Mambo ya msingi kwa mwanamke kuyajua unapojiremba

Dondoo za Urembo na Mitindo#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Kope nazo humpendezesha mwanamke kuna aina ya rangi za kupaka kwenye kope, lakini zinatofautiana. Ni vyema ukawasiliana na wataalamu wa mambo ya urembo kwa usha…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #26417

Jinsi ya Kutumia Papai na Asali kuondoa Madoa Usoni

Dondoo za Urembo na Mitindo#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

KUMEKUWA na sababu mbalimbali zinazofanya watu kutokuwa na ngozi zisizokubalika.Mbali na hali ya hewa pia matumizi ya pombe na sigara hata matumizi ya cream kal…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #26332

Jinsi ya kuvaa viatu mbalimbali inavyotakiwa na ili upendeze

Dondoo za Urembo na Mitindo#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Viatu ni kinga kwa ajili ya kuhifadhi miguu. Vile vile viatu ni vazi ambalo linaongeza urembo na nakshi kwa mvaaji. Viatu vipo vya aina mbalimbali na vinavaliwa…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #26385

Mambo ya Kuzingatia ili uwe na ngozi laini

Dondoo za Urembo na Mitindo#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Takribani kila mtu angependa kuwa na ngozi laini, au hata laini zaidi. Watu wengi wamekuwa wakiitafuta ngozi nzuri au kujitahidi kuitunza ili isiharibike. Lakin…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #6804

Jinsi ya Kuondoa Makovu Mwilini

Dondoo za Urembo na Mitindo#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF#Urembo na Mitindo: Changamoto na Suluhu

Makovu sio kidonda naomba hili uelewe, ila makovu ni alama ya majeraha ambayo yamebaki kwenye ngozi baada ya kupona majeraha.Kuna baadhi ya watu husumbuliwa na …

ACKYSHINE ARTICLE Β· #26419

Chanzo, dalili na matibabu ya chunusi

Dondoo za Urembo na Mitindo#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Chunusi ni ugonjwa wa ngozi ambao hujit-okeza kama viuvimbe/vipele vidogo vidogo hasa sehemu za uso,kifuani na hata mgongoni.Vipele hivi hutokea wakati vishimo …

ACKYSHINE ARTICLE Β· #26292

Namna ndizi inavyotumika katika urembo

Dondoo za Urembo na Mitindo#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Mbali na kulika, ndizi zina manufaa mengine, hasa katika urembo wa ngozi.Ndizi zina virutubisho muhimu vinavyoboresha ngozi. Ndizi pia zina aina tatu za sukari …

ACKYSHINE ARTICLE Β· #26325

Madhara ya Kuvaa/ Kuweka Kope Za Bandia

Dondoo za Urembo na Mitindo#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Mapokeo ya urembo wa kisasa katika nchi zinazoendelea ni sehemu ya mchango wa urembo na mvuto tunaouona kwa baadhi ya wasichana na wanawake ambao kwa hakika una…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #26333

Jinsi ya kusafisha na Kutunza Kucha zako

Dondoo za Urembo na Mitindo#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Inashauriwa kwamba kabla ya kuchukuwa uamuzi wa kwenda kununua vifaa husika ambavyo utavitumia unapaswa kufahamu aina ya kucha ili uweze kununua vifaa vinavyoen…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #26296

Faida za kuoga maji ya Baridi

Dondoo za Urembo na Mitindo#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Watu wengi hupenda kuogea maji ya moto, hii ni kutokana na kuogopa baridi au sababu za kimazoea tu. Ingawa mara nyingi umekuwa ukisisitiziwa kuwa maji moto yana…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #26297

Namna nzuri ya kuhudumia nywele zako za asili kirahisi

Dondoo za Urembo na Mitindo#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Kwa wale ambao tuna nywele asilia (natural hair), tayari tunafahamu changamoto kadhaa tunazokumbana nazo. Kwa wale mnaofikiria kuanza kuwa na nywele asilia, kar…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #6809

Sababu, tiba na jinsi ya kujikinga na Tatizo la uke kutoa harufu

Dondoo za Urembo na Mitindo#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF#Urembo na Mitindo: Changamoto na Suluhu

Ni matumaini nyote mnaendelea vyema, nami alhamdulillah ala kul Hali naendelea vyemaLeo naona ni bora tukazungumzia tatizo la kutokwa na harufu mbaya ukeni maan…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #6808

Jinsi ya kuondoa weusi kwenye magoti na viwiko vya mikono

Dondoo za Urembo na Mitindo#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF#Urembo na Mitindo: Changamoto na Suluhu

Ngozi nyeusi katika magoti na nyuma ya mikono hutokana na mkusanyiko wa cells zilizokufa, na hata unavyoweka pressure kwenye magoti na vipepsi vya mikono yako. …

ACKYSHINE ARTICLE Β· #26330

Mavazi ya Ofisini kwa Wadada

Dondoo za Urembo na Mitindo#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Wengi wetu tunashindwa kutofautisha mavazi ya sehemu husika mfano Ofisini, michezoni, na yale ya usiku na sehemu nyinginezo leo nitagusia vazi la ofisini kwa ak…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #26388

Faida za kutumia mafuta ya Nazi

Dondoo za Urembo na Mitindo#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Mafuta ya nazi hung’arisha ngozi:Siyo sehemu za ndani tu ya mwili zinazofaidika na mafuta haya ya nazi kama yanavyofanya mafuta mengine ya asili, kama unataka k…