Tafakari Kuhusu Matumizi Ya Mali
Usiwe Bahili wa kutumia Mali ulizojaliwa na Mungu. Mungu amekupa Mali hizo ili u...
Tafakari ya leo kuhusu Uaminifu
Uaminifu ni kipimo na kigezo cha Ukamilifu na Utakatifu.
Uaminifu ni ishara ya U...
Mambo yanayowazuia Waumini na Watumishi wa Mungu Kufikia Ukamilifu na Utakatifu
Leo nimekuandalia Tafakari kuhusu Mambo yanayowazuia Waumini na watumishi wa Mun...
Mungu Anakuita Na Kukupa Nafasi Ya Kutubu Na Kumrudia Yeye Ili Akusamehe na Kukubariki
Unaalikwa kutubu na kumrudia Mungu kwa Moyo Wako wote na kwa nia dhabiti. Mungu ...
Siri ya Kuwa na Amani ya Moyoni au Rohoni
Ili kuwa na Amani ya Moyoni unatakiwa uishi kwa kutimiza wajibu wako wa kiroho n...
Maana ya kuushinda ulimwengu
Ni kuacha kufuata akili yako na mwili wako huku ukiufuata moyo wako wakati ukiju...
Yesu Yupo Karibu na Wewe Unapoanguka Dhambini: Huruma ya Yesu Kristo kwa Mwenye dhambi
Wakati mtu anapoanguka dhambini ndio wakati ambao Yesu anakua karibu na mtu sana...
Nguvu na Umuhimu wa Upendo
Katika fadhila zote, upendo ndio unaonyesha uwepo wa fadhila nyingine
Upendo ni ...
Makusudi ya Mungu kwa Kila Binadamu
Mungu anamakusudi na kila binadamu anayeishi duniani. Hakuna mtu aliyebora zaidi...
Kwa nini Mungu hatendi mpaka umwambie au umuombe? Kwa nini tusali?
Mungu anapenda kutenda jambo baada ya mtu kumuomba/kusali ili mtu aelewe Ukuu wa...
Hii Ndiyo Namna Pekee ya Kuwa na Amani Katika Maisha Yako
Ifahamu namna Pekee ya kuwa na amani katika maisha Yako. Jifunze Kitu Hapa na ku...
Mambo ya Msingi Sana Kuhusu Kusali na Kuomba
Rafiki yangu, Omba utafute uso wa Mungu, Aonaye kwa Siri atakujibu kwa wazi. Mun...
Mungu ni Mwenye Haki, Mpenda Haki, na Mtenda Haki
Mungu ni mwenye haki, mpenda haki na mtenda haki. Unapoenenda kwa haki na yeye a...
Karibu Ujitafakari: Kwa nini Unasali na Kumuabudu Mungu? Jifunze Kitu Hapa
Embu tafakari kwa nini unasali na Kumuabudu Mungu!
Je unasali kwa hofu ya kutoku...
Thamani ya Neno "Nimekusamehe"
...
TAFAKARI KUHUSU NAFASI YA MATESO NA SHIDA KATIKA MAISHA
Mungu hapendi mtu Ateseke lakini ni kwa njia ya ya Mateso mtu anaweza akapimwa I...
Mwenendo Unaongozwa na Roho Mtakatifu
Mwenendo wenu na uongozwe na Roho, nanyi hamtafuata tena tamaa za kidunia. Maana...
Mambo ya kutafakari unapokuwa katika shida kubwa, unapoelekea kukata tamaa
Leo tunatafakari kuhusu wakati wa shida.
Maisha ya mtu yanabadilika wakati wowot...
Yafahamu Mawazo na Mipango ya Mungu Kwako
Mungu daima anawaza Mema na Anampangia Mtu Mambo mema. Kama mtu ataenda katika n...
Tafakari Upendo Mkuu wa Mungu kwa Mwanadamu
Karibu tutafakari Upendo Mkuu wa Mungu Kwa Wanadamu. Soma tuone namna Mungu aliv...
Siri ya Yesu: Mwangaza Wa Maisha
Soma Siri ya Yesu aliye Mwangaza Wa Maisha, Jifunze namna unavyoweza kufaidi Mwa...
Mipango ya Mungu kwetu sisi wanadamu
Mipango ya Mungu daima ni myema, Mungu anapanga Mema katika maisha ya mtu kama a...
Mungu ni mwenye upendo, Huruma na Rehema hasa kwa Wenye dhambi
Mungu ni mwenye upendo Huruma na Rehema hasa kwa Wenye dhambi.
Mungu yupo tayari...
Safari ya kupata fadhila ya Unyenyekevu
Fadhila ya Unyenyekevu ni matunda ya Upendo na Uvumilivu kwa hiyo ili kufikia Un...
Tofauti Wakati Wa Kukomunika Wakati Wa Kupokea Mwili Na Damu ya Yesu Kristo
Wakati wa Kukomunika kila mtu anampokea Yesu kwa namna alivyojiweka tayari. Vile...
Kumtafuta Mungu ni Jukumu lako Binafsi
Kumtafuta Mungu ni jukumu la mtu binafsi na nafsi yake. Huwezi kumfuata Mungu kw...
Unafahamu kuwa Imani ni Cheti cha Kuweza Kupata Yote?
Imani ni njia ya kuweza kupata yote. Unachohitaji ni Imani. Naam kuwa na uhakika...
Zawadi ya Kipekee kwa Mtu Ambayo Inadumu Milele
Kuna Zawadi moja ya Kipekee ya kumpa mtu ambayo ni Kusali na Kuomwombea Mtu awez...
Umakini katika kuwaza
Kuwa makini sana na mawazo yako, Yanaweza kukupeleka Mbinguni au motoni.
Kumbuk...
Siri za Upendo, Huruma, Rehema na Neema za Mungu
Kadiri Mtu anavyoanguka dhambini na kutubu kweli makosa yake ndivyo na upendo, H...
Vile unavyoweza kuwa DARAJA au KIKWAZO kwa wengine
Kwa namna unayoishi unaweza ukawa daraja au kikwazo cha wengine kuishi maisha ya...