Sidebar with Floating Button
AckySHINE 🔁
AckyShine

Huruma ya Mungu: Umoja wa Neema na Upendo

Featured Image
Huruma ya Mungu ni kama jua lenye nuru na joto, ikileta umoja wa neema na upendo. Ni baraka isiyo kifani ambayo hutujaza furaha tele!
50 💬 ⬇️

Tafakari Kuhusu Matumizi Ya Mali

Featured Image
Usiwe Bahili wa kutumia Mali ulizojaliwa na Mungu. Mungu amekupa Mali hizo ili ufurahie maisha uliyonayo ambayo siku moja yana mwisho.
100 💬 ⬇️

Mungu Anakuita Na Kukupa Nafasi Ya Kutubu Na Kumrudia Yeye Ili Akusamehe na Kukubariki

Featured Image
Unaalikwa kutubu na kumrudia Mungu kwa Moyo Wako wote na kwa nia dhabiti. Mungu atakusamehe dhambi zako na kukufanya kuwa mpya. ...Ingekuwa heri leo usikie sauti yake! Usifanye moyo wako kuwa mgumu.
100 💬 ⬇️

Nguvu na Umuhimu wa Upendo

Featured Image
Katika fadhila zote, upendo ndio unaonyesha uwepo wa fadhila nyingine Upendo ni Amri kubwa kuliko zote Upendo ni Utimilifu wa Sheria Upendo ni Utakatifu
100 💬 ⬇️

Mambo yanayowazuia Waumini na Watumishi wa Mungu Kufikia Ukamilifu na Utakatifu

Featured Image
Leo nimekuandalia Tafakari kuhusu Mambo yanayowazuia Waumini na watumishi wa Mungu Kuishi Kitakatifu na kufikia Ukamilifu. Mambo haya yanaweza yakaonekana sio dhambi au makosa kwa mtu lakini ni vikwazo kwa mtu kufikia Ukamilifu hasa anaposhindwa kuyajua na kuyaepuka. Wengi wanajiona kwamba wako salama lakini kumbe wako katika dhambi.
100 💬 ⬇️

Kuomba Huruma ya Mungu: Njia ya Upatanisho na Utakaso

Featured Image
Kuomba Huruma ya Mungu: Njia ya Upatanisho na Utakaso Wakati mwingine tunahitaji kusafisha roho zetu na kusimama katika utakatifu. Kuomba huruma ya Mungu ni njia bora ya kufikia hili. Ni wakati wa kusimama mbele za Mungu na kuomba msamaha kwa dhambi zetu, tukiamini kwamba yeye atatupatanisha na kutakasa roho zetu. Kwa hivyo, hapa ndiyo tunapoomba huruma ya Mungu, tunapata njia ya upatanisho na utakaso. Ni wakati wa kubadilisha mwelekeo wa maisha yetu na kumruhusu Mungu awe na udhibiti kamili. Kwa hivyo, acha kila kitu na chukua muda wako kwa sala, kuomba huruma ya Mungu na kusafisha roho yako.
50 💬 ⬇️

Safari ya kupata fadhila ya Unyenyekevu

Featured Image
Fadhila ya Unyenyekevu ni matunda ya Upendo na Uvumilivu kwa hiyo ili kufikia Unyenyekevu yakupasa kuwa na Upendo wa kweli kwa Mungu na Wanadamu huku ukiwa mvumilivu, Mwisho wa yote hayo utapata fadhila ya Unyenyekevu
100 💬 ⬇️

Siri ya Yesu: Mwangaza Wa Maisha

Featured Image
Soma Siri ya Yesu aliye Mwangaza Wa Maisha, Jifunze namna unavyoweza kufaidi Mwangaza huu kushinda Uovu katika maisha Yako.
100 💬 ⬇️

Huruma ya Mungu: Chemchemi ya Upendo Usiokwisha

Featured Image
Huruma ya Mungu: Chemchemi ya Upendo Usiokwisha - Kupata Msaada na Matumaini Yasiyokwisha!
50 💬 ⬇️

Umakini katika kuwaza

Featured Image
Kuwa makini sana na mawazo yako, Yanaweza kukupeleka Mbinguni au motoni. Kumbuka vile unavyowaza ndivyo utakavyovitenda. Amua kuwaza mema kutoka ndani ya moyo wako kisha utatenda mema katika maisha yako Kumbuka Mungu humhukumu mtu kwa mawazo yake maana mawazo ya mtu ndiyo mtu mwenyewe Tuwaze mema wapenzi ili tuwe wema
100 💬 ⬇️
🏠 Home 📖 Reading 🖼️ Gallery 💬 AI Chat 📘 About