Sidebar with Floating Button
AckySHINE 🔁
AckyShine

Siri za Upendo, Huruma, Rehema na Neema za Mungu

Featured Image
Kadiri Mtu anavyoanguka dhambini na kutubu kweli makosa yake ndivyo na upendo, Huruma, Rehema na Neema za MUNGU zinavyoongezeka katika maisha yake.
100 💬 ⬇️

Nguvu ya Huruma ya Mungu: Ukarabati wa Kina

Featured Image
Nguvu ya huruma ya Mungu ni sawa na upepo mwanana unaoleta uponyaji na ukarabati wa kina. Hata kama maisha yako yanaweza kutoa changamoto nyingi, usikate tamaa! Kuna tumaini na neema tele kutoka kwa Mungu. Karibu na upokee ukarabati wa kina kupitia huruma yake!
50 💬 ⬇️

Siri ya Kuwa na Amani ya Moyoni au Rohoni

Featured Image
Ili kuwa na Amani ya Moyoni unatakiwa uishi kwa kutimiza wajibu wako wa kiroho na kidunia kama inavyotakiwa na kwa uwezo wako wote, Huku ukiwa na Matumaini ya kua kile unachokifanya kitafanikiwa, ni sahihi na umekifanya vizuri.
100 💬 ⬇️

Mambo ya kutafakari unapokuwa katika shida kubwa, unapoelekea kukata tamaa

Featured Image
Leo tunatafakari kuhusu wakati wa shida. Maisha ya mtu yanabadilika wakati wowote kwa namna yoyote yanaweza yakawa mazuri mpaka ukashangaa au yanaweza yasiwe mazuri kama unavyotarajia. Yote hayo ni sehemu ya maisha.
100 💬 ⬇️

Safari ya kupata fadhila ya Unyenyekevu

Featured Image
Fadhila ya Unyenyekevu ni matunda ya Upendo na Uvumilivu kwa hiyo ili kufikia Unyenyekevu yakupasa kuwa na Upendo wa kweli kwa Mungu na Wanadamu huku ukiwa mvumilivu, Mwisho wa yote hayo utapata fadhila ya Unyenyekevu
100 💬 ⬇️

Umakini katika kuwaza

Featured Image
Kuwa makini sana na mawazo yako, Yanaweza kukupeleka Mbinguni au motoni. Kumbuka vile unavyowaza ndivyo utakavyovitenda. Amua kuwaza mema kutoka ndani ya moyo wako kisha utatenda mema katika maisha yako Kumbuka Mungu humhukumu mtu kwa mawazo yake maana mawazo ya mtu ndiyo mtu mwenyewe Tuwaze mema wapenzi ili tuwe wema
100 💬 ⬇️

Tafakari Kuhusu Matumizi Ya Mali

Featured Image
Usiwe Bahili wa kutumia Mali ulizojaliwa na Mungu. Mungu amekupa Mali hizo ili ufurahie maisha uliyonayo ambayo siku moja yana mwisho.
100 💬 ⬇️

Mungu ni mwenye upendo, Huruma na Rehema hasa kwa Wenye dhambi

Featured Image
Mungu ni mwenye upendo Huruma na Rehema hasa kwa Wenye dhambi. Mungu yupo tayari kumsikiliza mtu yeyote mwenye dhambi kama ameutambua, amekiri na Kutubu makosa yake. Mungu akishamsamehe mtu uovu wake anambariki.
100 💬 ⬇️

Ibada ya Huruma ya Mungu: Kuishi kwa Upendo na Ukarimu

Featured Image
Ibada ya Huruma ya Mungu ni chanzo cha upendo na ukarimu ambacho kinaweza kubadilisha maisha yako! Jifunze jinsi ya kuishi kwa moyo wa kujali na kuwa baraka kwa wengine.
50 💬 ⬇️

Kwa nini Mungu hatendi mpaka umwambie au umuombe? Kwa nini tusali?

Featured Image
Mungu anapenda kutenda jambo baada ya mtu kumuomba/kusali ili mtu aelewe Ukuu wa Mungu na ili Mungu atukuzwe. Kama kila kitu mtu anachotaka kingekua kinafanyika, Binadamu asingemkumbuka Mungu na Mungu asingetukuzwa
100 💬 ⬇️
🏠 Home 📖 Reading 🖼️ Gallery 💬 AI Chat 📘 About