Sidebar with Floating Button
AckySHINE 🔁
AckyShine

Yesu Yupo Karibu na Wewe Unapoanguka Dhambini: Huruma ya Yesu Kristo kwa Mwenye dhambi

Featured Image
Wakati mtu anapoanguka dhambini ndio wakati ambao Yesu anakua karibu na mtu sana hata kuzidi wakati mwingine wowote. Wakati mtu anapoanguka dhambini ndio Yesu anakua karibu zaidi, lakini tatizo ni kwamba huo ni wakati ambao mtu hawezi kutambua uwepo wa Yesu. Neno moja tuu la Matumaini na Upendo wakati huo linaweza kumfungua mtu na kumbadilisha.
100 💬 ⬇️

Huruma ya Mungu: Upendo Usiokuwa na Kifani

Featured Image
Huruma ya Mungu ni upendo usiokuwa na kifani, ambao unatufanya tujisikie vizuri kila wakati. Ni kama jua lenye joto, ambalo hulainisha mioyo yetu na kutoa nguvu kwa roho zetu. Hakuna kitu kizuri kama kujua kuwa upendo wa Mungu hauishi kamwe, na tuko salama chini ya mabawa yake ya upendo.
50 💬 ⬇️

Huruma ya Mungu: Ulinzi na Uongozi katika Maisha

Featured Image
"Huruma ya Mungu: Kifungua Moyo cha Ulinzi na Uongozi Katika Maisha" - Kila wakati Mungu yuko karibu na sisi, akiwa tayari kutulinda na kutuongoza kwa njia sahihi. Ni wakati wa kutambua huruma ya Mungu na kuitumia kama kifungua moyo cha usalama na mafanikio maishani. Pamoja na Mungu, tunaweza kufurahia maisha ya raha na amani.
50 💬 ⬇️

Huruma ya Mungu: Umoja wa Neema na Upendo

Featured Image
Huruma ya Mungu ni kama jua lenye nuru na joto, ikileta umoja wa neema na upendo. Ni baraka isiyo kifani ambayo hutujaza furaha tele!
50 💬 ⬇️

Huruma ya Mungu: Mwanga katika Giza la Dhambi

Featured Image
Huruma ya Mungu ni mwanga wa matumaini katika giza la dhambi. Kila mtu anastahili kupata fadhila hii ya Mungu na kusonga mbele na furaha.
50 💬 ⬇️

Umakini katika kuwaza

Featured Image
Kuwa makini sana na mawazo yako, Yanaweza kukupeleka Mbinguni au motoni. Kumbuka vile unavyowaza ndivyo utakavyovitenda. Amua kuwaza mema kutoka ndani ya moyo wako kisha utatenda mema katika maisha yako Kumbuka Mungu humhukumu mtu kwa mawazo yake maana mawazo ya mtu ndiyo mtu mwenyewe Tuwaze mema wapenzi ili tuwe wema
100 💬 ⬇️

Siri ya Yesu: Mwangaza Wa Maisha

Featured Image
Soma Siri ya Yesu aliye Mwangaza Wa Maisha, Jifunze namna unavyoweza kufaidi Mwangaza huu kushinda Uovu katika maisha Yako.
100 💬 ⬇️

Siri za Upendo, Huruma, Rehema na Neema za Mungu

Featured Image
Kadiri Mtu anavyoanguka dhambini na kutubu kweli makosa yake ndivyo na upendo, Huruma, Rehema na Neema za MUNGU zinavyoongezeka katika maisha yake.
100 💬 ⬇️

Mambo ya kutafakari unapokuwa katika shida kubwa, unapoelekea kukata tamaa

Featured Image
Leo tunatafakari kuhusu wakati wa shida. Maisha ya mtu yanabadilika wakati wowote kwa namna yoyote yanaweza yakawa mazuri mpaka ukashangaa au yanaweza yasiwe mazuri kama unavyotarajia. Yote hayo ni sehemu ya maisha.
100 💬 ⬇️

Vile unavyoweza kuwa DARAJA au KIKWAZO kwa wengine

Featured Image
Kwa namna unayoishi unaweza ukawa daraja au kikwazo cha wengine kuishi maisha ya Amani raha na fanaka. Unaweza ukawa daraja kwa maana kwamba wewe unaweza kuwa sababu ya wengine kupata Baraka na neema za Mungu. Unaweza kuwa kikwazo kwa maana kwamba unaweza kuwa wewe ni sababu ya wengine kutokupata Baraka na Neema za Mungu.
101 💬 ⬇️
🏠 Home 📖 Reading 🖼️ Gallery 💬 AI Chat 📘 About