Log in to access your menu with tools for managing π tasks, π₯ clients, π° finances, π learning, π personal growth, and π spirituality, all in one place!.
Welcome to AckySHINE, your go-to platform for personal growth, productivity, and well-being, offering tools tailored to organize your life, manage finances, and deepen your journey.
Updated at: 2024-05-25 16:53:11 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
1, mwanaume kuoga haraka haraka ili uwahi kuangalia igizo, huo ni UMAMA..π
2, mwanaume kupiga picha umeng'ata Lips na Unapiga na Camera Beauty Plus huo ni UMAMA..π
3, Mwanaume kuangalia tamthilia na Jamai Raja na Maigizo kwenye chanel ya sinema zetu wakati mechi za kombe la dunia zinaendelea, pia nawe ni MMAMAAβ¦ππ
4, Mwanaume kuandika 'Jomon' badala ya Jamani, kuandika 'Pw' badala ya Poa, kuandika 'Thatha' badala ya Sasa, kumwandikia mwanaume mwenzio 'Mambo my' Huu ni UDADA, tena UDADA wa CHUO..π . 5, Mwanaume kunywa soda au Juice na kubakisha, kununua chakula halafu unakibakisha, kubagua bagua chakula na kujamba hovyo hovyo baada ya kushiba, huo nao ni UMAMAA..π . 6, Mwanaume kumuuliza mwanaume mwenzio anapata faida gani kuangalia Mpira, pia nawe ni MMAMAβ¦ . ππππππππππ
Hii mitoto mingine mijinga, cheki alichokifanya huyu
Updated at: 2024-05-25 17:07:59 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Nimeamka asubuhi nikiwa na elfu 1 tu mfukoni, nikamtuma mtoto wa jirani akaninunulie maandazi nipate kunywa chai. Baada ya muda namuona anarudi huku analamba askrimu ya AZAM kama Simba vile. Nikamuuliza maandazi yako wapi? Akanijibu eti wakati anafika yanapouzwa maandazi akagundua kuwa kapoteza hela yangu, hivyo akaanza kurudi, ila bahati nzuri wakati anarudi ili kuja kunitaarifu kuhusu kupotea kwa hela yangu, njiani akaokota elfu 1 ambayo kuna mtu alipoteza ndio akaamua kununua askrimuβ¦.kwa sasa niko polisi na mtoto yuko dispensari na mamakeπππππππ
Updated at: 2024-05-25 17:04:27 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Leo nimeenda mahakamani, mara judge akasema.. Order! Orderβ¦ Mimi na kiherehere changu nikasema.. Chapati .. Maziwa na ovacado tatu β¦ Nimewekwa kwa karoom kengine hapa kanagiza.. i think wananiandalia chapati πππππππππ
Updated at: 2024-05-25 17:14:55 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Chizi kakaa ukingoni mwa bahari analia kwa masikitiko na huku kakamata kijiko cha chai. Mwezake akamuuliza mbona unalia mwenzangu. Chizi akajibu nimetia vijiko vitatu vya sukari baharini, kila nikionja bado ina chumvi. Mwenzake akacheka sanaaaaaa akamwambia. Hujakoroga!!!!ππππππ