Sidebar with Floating Button
AckySHINE 🔁
AckyShine

Majibu ya mkato ya kuchekesha Kutoka Kenya

Featured Image
236 💬 ⬇️

Je, hii ni kweli kwa wale wasichana wasiojibu meseji WhatsApp!!!?

Featured Image
236 💬 ⬇️

Cheka kidogo na wewe hapa

Featured Image
237 💬 ⬇️

Mke alichomfanyia mme wake kabla ya kwenda safari, Chezea mawaifu walokole wewe!

Featured Image
JAMAA alimuaga mke wake mlokole kuwa anaenda semina ya siku tatu, kumbe anakwenda kwa bi mdogo. Mke akamwambia mumewe; "Tupige magoti tusali", Wakapiga magoti…: MKE: Eee baba msaidie mume wangu afike salama safari yake. MUME: Emen…
236 💬 ⬇️

Mipango ya mke na mume ya pasaka

Featured Image
237 💬 ⬇️

Huyu mwanamke kazidi sasa

Featured Image
236 💬 ⬇️

Alichofanya maasai baada ya kupanda Tax

Featured Image

Baada ya kupanda daladala aina ya DSM kutoka Mbagala chalambe mpaka Mwenge na kulipa sh 500.Masai akachukua tax wakati wa kurudi.walipofika sasa shughuli ilikuwa hivi.

Masai: we dureva? Naulisa Ng'ombe na mbusi ipi ngali?
Dereva: Ni ng'ombe ghali Masai.

236 💬 ⬇️

Kuwa na mahusiano na msichana kama huyu ni changamoto, Mabinti bwana!

Featured Image
236 💬 ⬇️

Huyu mchaga kazidi sasa, angalia anavyomfanya huyu mbuzi

Featured Image
Mchaga alinunua mbuzi akamwambia mpishi Nyama nusu ipike pilau na ingine itie kwenye friza. Kichwa fanya supu, miguu fanya mchuzi chukuchuku. Ngozi usitupe tutafanya mswala, utumbo pikia ndizi na mifupa tutawauzia wenye mbwa. Kinyesi kihifadhi kwa mbolea ya bustani.
237 💬 ⬇️

Hili nalo neno kwa wavulana

Featured Image
236 💬 ⬇️
🏠 Home 📖 Reading 🖼️ Gallery 💬 AI Chat 📘 About