Bwana mmoja wakati anakata roho alimwambia mkewe hivi:

MUME - mke wangu natubu mbele yako kwamba nimezini na mama yako, dada yako, shangazi yako, mama yako mdogo na mtoto wa shangazi yako.

MKE - nayafahamu yote hayo ndio maana nimekupa sumu.