Angalia binadamu walivyo
ποΈ Baini Siri za Familia, Mapenzi na Mahusiano#Karibu AckySHINE#Mahusiano: Mahusiano na Watu wanaotuzunguka#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDFπ Kiswahili

Angalia Binadamu walivyo!,
"Ukitafuta sana anakuita MCHAWI,"
Ukifanikiwa sio BURE,
"Ukitulia MVIVU,",
Usipovaa vizuri MCHAFU,
Ukidili sana na masomo unajifanya MSOMI,
Usipodili nayo MJINGA,
Ukisema sana MBEA,
Ukiwa mkimya JEURI,
Ukiwasaidia watu UNATAKA SIFA,
Usipowasaidia ROHO MBAYA,
Ukiwa na kazi UNAJISIKIA,
Usipokua nayo MZEMBE.
Hivyo BINADAMU ndivyo walivyo wewe jali MAISHA YAKO TU NA MAENDELEO YAKO.
MUNGU akulinde na shari zao.
β
Direct PDF download
The download button now generates the PDF on the server. It no longer depends on an off-screen browser canvas, so the former blank-PDF capture path is bypassed.