Mchumba wangu amenialika kwao nikawaone wazazi wake lakini akaniambia nisiende mikono mitupuโ€ฆ

Nikaamua kuvaa glovesโ€ฆ

Sipendagi aibu ndogo ndogo ukweni.๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜