πMaswali na Majibu kuhusu Marehemu
Ufufuko wa wafu maana yake nini? Ufufuko wa wafu maana yake mwisho wa dunia watu wote watafufuka na miili yao na kwenda nayo katika furaha ya milele au moto wa milele. (Ayu 19:25-26, Mt 22:30-32, Yh 28-29) Baada ya kifo cha mtu nini hutokea? Baada ya kifo roho yake inafika mbele ya Mungu kwa hukumu β¦
Open printable article βπMaswali na Majibu kuhusu Ibada ya Misa
Ishara ndogo ya Msalaba juu ya panda la uso, mdomo, na kifua kabla ya Injili ina maana gani? Maana yake ni kama Ahadi kuwa, Niko tayari kulifahamu Neno la Mungu kwa akili yangu, Nitalitangaza kishujaa kwa Midomo yangu, Nitalipenda na kulishika kwa Moyo wangu wote. Je ni dhambi kukosa Misa Jumapili? β¦
Open printable article βπMaswali na Majibu kuhusu Mitume
Mapokeo ya Mitume ndiyo nini?
Mapokeo ya Mitume ndiyo yale yote ambayo Yesu aliwakabidhi Mitume wake, na kwa uwezo wa Roho Mtakatifu yatadumu hata mwisho wa dunia katika mafundisho, liturujia na maisha ya Kanisa.
Open printable article βπMaswali na majibu kuhusu Mpako wa wagonjwa au Mpako wa Mwisho
Yesu aliweka Kitubio na Mpako wa Wagonjwa kwa sababu gani? Yesu aliweka Kitubio na Mpako wa Wagonjwa kwa sababu alijua udhaifu wa binadamu hauishi mara anapopokea uzima wa Mungu kwa sakramenti tatu za kuingizwa katika Ukristo. Hivyo alipanga kusaidia mpaka mwisho wa dunia waamini wake watakaopatwa nβ¦
Open printable article βπMafundisho kuhusu Binadamu, Mtu na Utu
Tumeumbwa kwa mfano na sura ya Mungu maana yake tuna roho zenye akili na utashi yaani uwezo wa kutofautisha mema namabaya, na zitakazoishi milele.
Open printable article βπMambo ya Muhimu kufahamu kuhusu Mungu
Mungu ndiye muumba wa kila kitu katika uwingu na nchi, Mkubwa wa ulimwengu mwenye kuwatuza watu wema na kuwaadhibu watu wabaya.
Open printable article βπMambo ya Msingi kufahamu kuhusu Ndoa ya Kikatoliki
Sakramenti ya ndoa ndio yenye kuwaunganisha wakristo wawili mume namke waliopendana kwa hiari bila shuruti au vitisho au kizuizi kwa kuwapa neema ya kuishi pamoja kitakatifu wakiwalea watoto wao katika utakatifu
Open printable article βπMafundisho ya Msingi kuhusu Roho Mtakatifu
Roho Mtakatifu ni upendo wa Mungu, nafsi ya tatu ya Utatu Mtakatifu, mwenye Umungu mmoja na Baba na Mwana.
Open printable article βπMaswali na Majibu kuhusu Sala
Sala ni kuinua mioyo yetu kwa Mungu na kuongea nae. Kuongea maana yake ni kusema na Kusikiliza. Sala sio kuongea tuu, sala ni kuongea na kusikiliza. Mungu anatualika tuongee nae kwa kusema na kusikiliza.
Open printable article βπMaswali na Majibu kuhusu Sanamu katika Kanisa Katoliki
Kwa nini tunasali mbele ya Picha/Sanamu na Hasa kufanya Ishara ya msalaba?
Tunasali mbela ya sanamu kwa sababu tunaamini sanamu inaakisi uwepo wa mhusika aliyechorwa au kuchongwa kwenye hiyo sanamu/picha.
Open printable article βπKuhusu Ubatizo, Haya ndiyo mambo ya Msingi unayotakiwa kufahamu
Kwa nini ubatizo unafanyika kwa maji?
Ubatizo unafanyika kwa maji kwa kuwa ndiyo ishara ya usafi na ya uhai unaotupatia kwa uwezo wa Roho Mtakatifu.
Open printable article βπMaswali na Majibu kuhusu Ufufuko wa wafu
Ufufuko wa wafu maana yake nini?
Ufufuko wa wafu maana yake mwisho wa dunia watu wote watafufuka na miili yao na kwenda nayo katika furaha ya milele au moto wa milele.
Open printable article βπAmri ya Tisa ya Mungu: Mambo inayokataza na inayoamuru
Mungu ametuamuru kutunza usafi wa moyo na kuwa waaminifu katika ndoa
Open printable article βπAmri ya Sita ya Mungu: Kutunza usafi wa moyo na kuwa waaminifu
Katika Amri ya Sita na Tisa Mungu ametuamuru nini?
Mungu ametuamuru kutunza usafi wa moyo na kuwa waaminifu katika ndoa.
Usafi wa Moyo ndio nini?
Usafi wa Moyo ni fadhila ya kiutu, zawadi ya Mungu, neema na tunda la Roho Mtakatifu.
Open printable article β