πMASOMO YA MISA, JUNI 04, 2023: SHEREHE YA UTATU MTAKATIFU - Jumapili baada ya Pentekoste
MWANZO: Asifiwe Mungu Baba na Mwana na Roho Mtakatifu; kwasababu ametufanyizia huruma yake. SOMO 1 Kut. 34 : 4-6, 8-9 Musa aliinuka na mapema asubuhi, naye akakwea katika mlima wa Sinai, kama Bwana alivyomwamuru, akazichukua hizo mbao mbili za mawe mkononi mwake. Bwana akashuka ndani ya lile wingu, β¦
Open printable article βπMASOMO YA MISA, JUNI 18, 2023: JUMAPILI, JUMA LA 11 LA MWAKA
SOMO 1 Kut. 19 :2-6 Waisraeli walipokuwa wameondoka Refidimu na kufika jangwa la Sinai, wakatua katika lile jangwa; wakapiga kambi huko wakiukabili mlima. Musa akapanda kwa Mungu, na Bwana akamwita toka mlima ule, akisema, Utawaambia nyumba ya Yakobo, na kuwaarifu wana wa Israeli, maneno haya: Mmeonβ¦
Open printable article βπMASOMO YA MISA,Β JUMAPILI, JULAI 2, 2023: DOMINIKA LA 13 LA MWAKA
MWANZO Zab. 47:2 Enyi watu wote, pigeni makofi, mpigieni Mungu kelele kwa sauti ya shangwe. SOMO 1 2 Fal 4:8-11,14-16 Ilikuwa siku moja, Elisha alikwenda Shunemu; na huko kulikuwa na mwanamke mmoja mwenye cheo; nave akamshurutisha aje ale chakula. Ikawa kila alipopita njia ile, huingia kula chakula.β¦
Open printable article βπMASOMO YA MISA,Β JUNI 25, 2023: JUMAPILI YA 12 YA MWAKA
SOMO 1 Yer. 20 : 10-13 Nimesikia mashutumu ya watu wengi; hofu ziko pande zote. Rafiki zangu wote wanaonivizia nisite, husema, Mshitaki, nasi tutamshitaki; huenda akahahadaika; nasi tutamshinda, tutajilipiza kisasi kwake. Lakini Bwana yu pamoja nami, mfano wa shujaa mwenye kutisha; kwa hiyo hao wanaβ¦
Open printable article βπMASOMO YA MISA,Β JUMAPILI, AGOSTI 20, 2023: JUMA LA 20 LA MWAKAΒ
SOMO I Isa. 56:1, 6-7 Bwana asema hivi, Shikeni hukumu, mkatenda haki; kwa maana wokovu wangu u karibu kuja, na haki yangu kufunuliwa. Na wageni, walioandamana na Bwana ili wamhudumu, na kulipenda jina la Bwana, kuwa watumishi wake; kila aishikaye sabato asiivunje, na kulishika sana agano langu; Nitβ¦
Open printable article βπJUMAPILI YA 19 YA MWAKA A: MASOMO YA MISA AGOSTI 13, 2023
Somo la Kwanza 1Fal 19:9, 11-13 Eliya alifika kunako pango, akalala ndani yake. Na tazama, neno la Bwana likamjia. Akasema, Toka, usimame mlimani mbele za Bwana. Na tazama, Bwana akapita; upepo mwingi wa nguvu ukaipasua milima, ukaivunjavunja miamba mbele za Bwana; lakini Bwana hakuwamo katika upepoβ¦
Open printable article βπMASOMO YA MISA,Β JUMAPILI, AGOSTI 27, 2023: JUMA LA 21 LA MWAKA
SOMO I Isa. 22:19-23 Bwana, Bwana wa majeshi, asema hivi: Nami nitakusukuma na kukutoa katika mahali pako, naye atakushusha utoke hapa usimamapo. Na itakuwa katika siku ile nitamwita mtumishi wangu Eliakimu, mwana wa Hilkia; nami nitamvika vazi lako, nitamtia nguvu kwa mshipi wako, nami nitamkabidhiβ¦
Open printable article β