PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

Mafundisho ya Msingi ya Kanisa Katoliki: Makala za Katoliki Β· 182

πŸ“„

JE, WAKATOLIKI WANABUDU SANAMU?

Mpenzi msomaji, kumekuwa na tuhuma nyingi dhidi ya wakatoliki kwamba wanaabudu sanamu. Je, tuhuma hizo zina ukweli gani? Hilo ndilo swali tunalotaka kujibu leo.Amri ya kukataza ibada kwa sanamu imewekwa wazi katika Biblia Takatifu, Kutoka 20:4-5, β€œUsijifanyie sanamu ya miungu wa uongo, au kinyago ch…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je Bikira Maria Alizaa Watoto Wengine?

Mapokeo kuhusu Bikira Maria yanaonyesha alikuwa binti pekee wa wazee watakatifu Yohakimu na Ana. VilevileMt. Yosefu, ingawa kisheria alikuwa mume wake, hakutenda naye tendo la ndoa hata moja. Ndiyo maana kwenyelitania yake tunamuita mwenye usafi kamili. Yosefu likufa kabla Yesu hajaanza utume kwa ku…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mafundisho Kuhusu Bikira Maria

DOGMA ZA KANISA KATOLIKI KUHUSU BIKIRA MARIA.Kuna mafundisho makuu mannekumhusu Bikira Maria ambayo ni lazimakila Mkatoliki ayasadiki kutokana naufunuo wa Mungu: 1. B. Mariamkingiwa dhambi ya asili 2. B. MariaMama wa Mungu 3. B. Maria Bikiradaima 4. B. Maria kupalizwa mbingunimwili na rohoMKINGIWA D…

Open printable article β†’
πŸ“„

Ishi kama Penseli ili uwe mtu bora

Muumbaji wa penseli alipomaliza kuiumba penseli yake aliiambia mambo muhimu ya kuzingatia ili iweze kuwa penseli bora kabla hajaituma kuingia kazini kwa matumizi.

β€œKuna vitu sita unatakiwa uvitambue, β€œ Aliiambia penseli,

β€œKabla sijakutuma kwenda kutumika, unatakiwa uviweke akilini vitu hivyo na usivisahau kamwe. Vitakusaidia siku zote na utakuwa penseli bora maisha yako yote.”

Alisema muumbaji wa penseli.

Open printable article β†’
πŸ“„

Swala la Mapadri kutooa limeandikwa wapi katika Biblia?

JE,SHERIA YA MAPADRE KUTOOA NA KUISHI USEJA IMEANDIKWA WAPI KATIKA BIBLIA AU IMETUNGWA TU NA PAPA?Pengine umewahi kuulizwa swali hili wakati fulani.Na jibu lake ni kama ifuayavyo:Mtu anapouliza kila kitu kimeandikwa wapi katika Biblia ni kudhihirisha kutokuijua au kuielewa vizuri Biblia Takatifu na …

Open printable article β†’
πŸ“„

Unayopaswa kujua Kuhusu Kipindi cha Majilio

Majilio (pia: Adventi ) ni kipindi cha liturujia yamadhehebu mbalimbali ya Ukristo (kama vileKanisa Katoliki, ya Waorthodoksi , Waanglikanana Walutheri ) kinatangulia sherehe ya Noeli nakuanza mwaka wa liturujia. Kinaweza kudumukati ya siku 22 na 40. Jina lake kwa Kilatini ni adventus maana yakeujio…

Open printable article β†’
πŸ“„

Historia Fupi ya Ibada ya Rozari

Katika Kalenda ya Kanisa Katoliki,huwa mwezi wa tano na mwezi wa kumini miezi ambayo imewekwa kwa ajili yaBikira Maria na Mama Kanisa. Hivyohiyo miezi huwa inasaliwa rozari.Wengi waweza kujiuliza kuwa ni kwanini ifanyike miezi hiyo? Yafuatayo nimajibu, mwezi wa tano umewekwa kwaheshima ya Bikira Mar…

Open printable article β†’
πŸ“„

Biblia inatuambia nini kuhusu pombe?

Angalizo; Tunapoongelea kuhusu pombe sio kwamba tunahamasisha kutumia pombe bali tuelewe kile tunachofanya kwa mapenzi ya Mungu!
pombe haikukataliwa ila itumike kwa kiasi.

Mhubiri 9:7
Wewe enenda zako, ule chakula chako kwa furaha, unywe mvinyo yako kwa moyo wa kuchangamka; kwa kuwa Mungu amekwisha kuzikubali kazi zako.

Open printable article β†’
πŸ“„

Uzinzi na Uasherati ndio mtego wa kizazi hiki

Uzinzi na uasherati wakati huu umekuwa ndio sumaku kuu ya kuwanasa watu ili waende jehanamu.

Sumaki hii imewanasa hata ambao hawakutegemewa wala kutarajiwa.

Uzinzi uzinzi uzinzi umekuwa kama perfume ya kujipulizia kila Mara mtu akipenda.

Uasherati umekuwa kama heshima ya kibinadamu kwa vijana wengi.

Open printable article β†’
πŸ“„

MAFUNDISHO MUHIMU KUHUSU MWILI NA DAMU YA YESU KRISTU | BIBLIA INAVYOELEZA KUHUSU EKARISTI

Yafuatayo ni maswali yatakayotuongoza kwenye mada yetu Yesu alituambia nini kuhusu Mwili wake na damu yake? Yesu alituambia hivi β€œBaba zenu walikula mana jangwani, lakini wakafa. 50Lakini hapa kuna mkate utokao mbinguni, ambao mtu ye yote akiula, hatakufa. 51Mimi ni mkate wa uzima ule uliotoka mbing…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kila kitu ni mali ya Mungu isipokua hiki

Kila kitu ni mali ya Mungu.

Kuwa na Mungu ni kuwa na kila kitu.

Hata mimi mwenyewe ni mali ya Mungu.

Open printable article β†’
πŸ“„

Uelewa wa namba katika Biblia

Biblia imeandikwa na Mungu kupitia waandishi wanadamu kwa uvuvio wa Roho Mtakatifu. Hivyo Biblia ni Neno la Mungu. Hivyo mwandishi wa Biblia ni Mungu kupitia wanadamu (God is the primary author of the Bible while human authors are secondary authors). Mungu aliwavuvia (inspiration by the Holy Spirit) waandishi wanadamu ili waweze kuandika kile tu ambacho Yeye (Mungu) alitaka kiandikwe kwa ajili ya wokovu wa wanadamu.

Open printable article β†’
πŸ“„

Maana halisi ya kuolewa au ya kuwa mke

NDOA sio kichaka cha kujificha kukimbia matatizo. NDOA sio mahali pa kutolea mkosi. Wala sio mahali pa kupunguzia shida. Ndoa sio mbadala wa elimu na michakato ya kimaisha. Huolewi ili kupunguza adha za maisha. NDOA ni jukumu zito kuliko hata kusoma masters degree ya Neuro-surgeon. Wengi hamjaweza kumudu maisha yenu binafsi na bado mnalilia Mungu kuwaongezea jukumu la kumeneji maisha ya mtu mwingine.

Open printable article β†’
πŸ“„

Mbinu 4 anazotumia Shetani kuteka na kurubuni Watu

1. Kutushawishi tuache kusali maaana njia kuu ya mawasiliano kati yetu na MUNGU.Hivyo akifanikiwa hapo kwisha habari yako

2. Kufanya umwogope shetani na nguvu zake kuliko unavyompenda MUNGU. Wakristo wengi leo hii husali na kuomba kwa nguvu mno siyo sababu wanampenda MUNGU mno hapana ni sababu wanamwogopa shetani na majeshi yake

Open printable article β†’
πŸ“„

Soma stori hii, unaweza ukajifunza kitu

Kijana mmoja alisafiri kwa meli na rafiki zake,
wakiwa katikati ya safari yao meli ilianza
kuzama. Watu wengi pamoja na rafiki wa yule
kijana walikufa maji wakati wanajaribu kujiokoa
kwa kuogelea, lakini yule kijana alifanikiwa

Open printable article β†’