SMS nzuri ya kimahaba kueleza kuhusu penzi
penzi linaweza kuelezewa kwa namna nyingi. Namna mojaniijuayo nikumtumia mapenzi hayo mtu asomaye meseji hii
Open printable article βFind an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.
penzi linaweza kuelezewa kwa namna nyingi. Namna mojaniijuayo nikumtumia mapenzi hayo mtu asomaye meseji hii
Open printable article βMwanamke ni yule amfanyaye mwanamme auhisi uanaume wake,wewe ni mwanamke mwenye sifa hizo.
Open printable article βDear siku zimekaribia, miaka β¦β¦ utatimiza katika hii dunia,hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia,hongera kwa wako wazazi kwa kunizalia kipenzi,zawadi yangu toka kwangu ni ahadi ya kulienzi lako penzi.Happy Birthday mpenzi.
Open printable article βUnaonekana kungβara leo nilijuajeβ¦β¦.ni kwasababuunaonekana hivyo kila siku. Nakupenda sana Mpenzi wangu vile ulivyo kila siku kwangu wewe ni mpya.
Open printable article βNajua kuna vishawishi vingi sana uko ulipo, lakini nikiwamoyoni mwako, siku hii itakuwa nzuri zaidi kwetu,tupendane daima lahaziziβ¦
Open printable article βBaadhi ya watu huzaliwa na vipaji. Huweza kufanya mambomazuri kwa ujuzi wao, lakini hamna anayekufikia wewe,kwani ukinisogelea tu kila kitu huwa kizuri.
Open printable article βNilikuwa nikifiria kwamba ndoto haziwezi kuwa kweli,lakini nilibadili mawazo yangu pale tu nilipokuona wewe.
Open printable article βmapenzi si pombe lkn yanalewesha, wala si kidonda lakiniyanatonesha,wala si maradhi lakini yanaumiza, wala sinjaa lakini yanakondesha ,mapenzi ni uvumilivu kwaunaempenda
Open printable article βMpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ? Ni wale rafiki zako wanaokuletea maneno ya uongo, ndugu zako wanaotugombanisha na wachawi wanotuotea mabaya, tujihadhari tusiwape ushindi. Mapenzi yetu yadumu daima.
Open printable article βHappy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyeziakupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi,pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi,nakupenda la azizi.
Open printable article βmahakama ya upendo iliyopo mtaa wa busu imenihukumukufungwa kwenye gereza la moyo la mcchana huyo milele kwakuutesa mtima wa moyo wa mcchana mmoja ,asiye namashauz,mwenye wing upendo ,maneno matamu ,mahaba ya dhatna mapenz mazito zito,
Open printable article βHappy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi akupemaisha marefu na kukuepusha na maradhi,pongezi kwa wako wazazikwa kukuzaa mpenzi,nakupenda la azizi.
Open printable article β"Japokuwa" "Kuku" "Haogi" "Yai" "Lake" "Litabaki" "Kuwa" "Jeupe" "Tu" "Namaanisha" "Kuwa" "Hata" "Kama" "Ukiona" "Nipo" ""KIMYA"" Muda""Mrefu" ""UPENDO"" "Wangu" "Kwako" """Bado""" "Uko" Pale pale!!!!! Usijali"Tupo Pamoja" "Kwa" "Asilimia 100%".
Open printable article βLeo ni siku ya furaha kwangu na kwa wakwe zangu,unajua ni kwa nini? Ni siku waliyokuleta kwenye hii dunia,happy birthday mpenzi!
Open printable article βNiliumbwa kwa ajili yako, mbele yakonitakushika mkono, nikuonyesha sayari yangu,pendo langu la undani,na nitakUHESHIMU milele mpenzi wangu.
Open printable article β