Meseji ya usiku mwema kwa umpendaye
Ckia ckupend, cktaki na wala ckhitji tena ww ni kikwzoktka maisha yangu ucnizoee! Mwmbie shtan maneno hya kablahjalala. g9t
Open printable article βFind an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.
Ckia ckupend, cktaki na wala ckhitji tena ww ni kikwzoktka maisha yangu ucnizoee! Mwmbie shtan maneno hya kablahjalala. g9t
Open printable article βFungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia, fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu, fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo kwa kukutumia sms mpenzi wangu, Nakutakia usiku mwema
Open printable article βUsiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako,naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA
Open printable article βUsiku Ni "utulivu"Usiku Ni "mzuri"Usiku Ni"upole"Usiku Ni "kimya"Lakini UsikuHaujakamilikaBila..KukutakiaWewe..USIKU=m=w=e=m=a!
Open printable article βRaha ya ndege kichaka si tunduni asilani,Raha ya Ndege ujumbe nakupa mpelekeemwandani iwapo hukumkuta msubiri mlangoni,Usije ukaondoka hakuchinji asilani,Mwambie namkumbuka hatoki mwangu moyoni.ucku mwema
Open printable article βUsiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako, naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA
Open printable article βUkilala Lala Salama Kumbatia mwili wangu Kama ukinikumbuka Sana Nipigie Kupitia Sim Yangu Matatizo Chuki Lawama Vumilia Mpenzi Wangu.
Open printable article β"""""Yule"""""Anipendezae lazima nimkumbuke""""nimpe salamu ""moyo""wangu ""uridhike""""Nimuombee kwaMWENYEZI ""MUNGU"" mabaya yamuepuke""""na kila lililo la kheri kwake lisiondoke''"""nakutakia''""ucku mwema"
Open printable article βUamkapo nitakupa langu tabasamuUkweli wa moyo utawale roho yakoKwani macho yako ndo uzuri kwanguNakupenda sasa na milele kipenzi change
Open printable article βFungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia,fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu,fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japokwa kukutumia sms mpenzi wangu,Nakutakia usiku mwema
Open printable article βMungu akupe umri wa mnazi uishi mingi miaka.Akupe thamani ya mnazi kila kitu chatumika.Kuanzia kuti lake mpaka kwenye kidaka.Kitale katikati yake ukila utaridhika.Matamu na maji yake hukata kiu haraka.Weupe watui lake lina ladha ukipika.Kupaka mafuta yake mwili hulainika.Na kwenye machicha yake kaziβ¦
Open printable article βNenda sms taratibu kwa yule ma BEST nimpendaye,ukimkutaamelala ucmuamshe mpige busu kisha mnong'oneze mwambienampenda sanaaaaNilivyokutana nawe cku ya kwanza nilikupenda kwa dhati,nikakueleza ukweli ukanikaribisha moyoni mwako,cwezikuchezea nafac hyo laaziz nitakushika daima.
Open printable article βMungu akubariki uwe mwiz wa ujuzi na maarifa, mlafi wakushauri, mroho wa busara, mchoyo wa matusi, mlevi waupendo na kiherehere cha kuabudu.say Amen! Ucku mwemampenzi
Open printable article βMpenzi wangu T tambua kuwa ulimwengu tunaoishi una mambomuhimu matatu. Jambo la kwanza ni kumpata umpendaye, lapili ni kupata atakayekupenda la tatu ambalo ni kubwakuliko yote ni kwa jambo la kwanza na la pili kuunganapamoja.Nashukuru nimekupata wewe nikupendaye, naomba unipende na uungane name
Open printable article βJe unakubali au unakataa kwa mujibu wa sheria ya mahakamaya mapenzi kifungu cha mahaba unahukumiwa kuwa na mimimilele,unaweza kukata rufaa kama hujatendewa haki.sawa?
Open printable article β