PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako Β· 290

πŸ“„

Ujumbe wa mahaba wa kumwambia mpenzi wako penzi lake ni tamu sana

utamu wa penzi hunogeshwa na pendo la dhati pia utamu wapenzi ni uwepo wangu na wako,ladha yake ni zaidi ya nazikwenye wali au royco kwenye mchuzi au pilipili kwenyekachumbari, utamu wake ni zaidi ya asali au jam kwenyemkate ,blueband kwenye uji.penzi tamu halina kifani

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS kwa mpenzi kumwambia unampenda kwa moyo

unaweza ukafunga macho kwa usilolitaka kuliona lakinihauwez kufunga moyo wako kwa Unalo Lipenda. NakupendaMpenzi

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumkumbusha mpenzi wako yeye ni nani kwako

Kumbuka kuwa wewe ni wanguKitulizo cha moyo wanguKwenye shida na rahaWewe ni sehemu ya maisha yangu milele

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi kumwambia kuwa yeye ni mmoja tuu katika maisha yako

Kuna miezi 12 katika mwaka…siku 30 katika mwezi…siku 7katika wiki, masaa 24 katika siku…dakika 60 katika saa……lakini wewe ni mmoja tu maishani mwangu.

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe mzuri wa salamu kwa mpenzi wako

Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee salamu "UHALI GANI MPENZI?"

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya mahaba ya kimapenzi ya kutakia siku njema

Licha ya upole ulionao! Pia upendo wako ndio kishawishi cha kunifanya nikukumbuke siku zote. Jiulize! nina namba za watu wangapi ktk cmu yangu,na bado sijatamani kujua hali zao ila wewe! kwa kuwa, nakuthamini nakukujali, ndiyo maana nakutakia, SIKU NJEMA

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS nzuri ya kumtakia mpenzi wako asubuhi njema

Katika maisha nimejifunza mambo mengi ikiwemo,. Kupendwa, kupenda, kusamehe, kuvumilia, lakini nimeshindwa kujifunza kukusahau wewe kwa sababu umekuwa ukinikumbuka sana.. nakutakia ASUBUHI NJEMA

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS nzuri kwa umpendaye asubuhi

, - .(. - .'. .'' . . . ' Napenda tunda hili likupoze makali uliyo nayo moyoni, Nimeliosha kwa maji safi na salama kwa ajili yako lipo tayari kuliwa."APPLE" Ni tunda lenye ishara ya UPENDO, AMANI & FURAHA. napenda liwe zawadi kwako siku hii ya leo .

Open printable article β†’
πŸ“„

Meseji nzuri ya kumjalia hali umpendaye

USikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula nawali,usizidishe siki akawa mkali.Nimimi niliye na dhiki nakujulia tu hali.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kutuma kwa mpenzi wako asubuhi

Ewe mwanga angaza mboni ya penzi letuNdilo sababu ya nguvu yanguTangulia pembeni mwa macho yakeAsubuhi hii hadi usiku ujao

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe wa kimahaba wa kumtumia msichana umpendaye kumwambia kuwa utampenda daima

nashtumiwa kwa kumpenda mcchana mmoja aliyeutesa moyowangumahakama imenihukumu kifo kwa kunyongwa na kamba upendolkn kwa msamaha wa raisi mapenzinmehukumiwa kuwa mwaminif kwake nakumpenda zaidi ya hapodaima milele.nakupenda mpz

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumtumia mpenzi wako kumtakia mahangaiko mema ya kazi

Ukipata tutakula na wala usijali mpenzi wangu.Ukikosa tutalala na hiyo itabaki siri yanguuuuuuuu.nakupenda mpz

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS nzuri ya kumtakia umpendaye mchana mwema

Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu, huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU. Mchana mwema

Open printable article β†’
πŸ“„

Meseji nzuri ya kimahaba ya salamu kwa mpenzi

Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa manenolaini yenye ladha adimu, utamu wake ni kamaapple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuleteesalamu "UHALI GANI MPENZI?"

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS nzuri sana ya kutakia usiku mwema

Dah! Safari yetu ilikuwa ngumu kweli ila hatimaye tumefika japo ni usiku sana hebu tupige hodi tusije kabwa na vibaka hapa nje.Hodiiiiii, Hodiiiii,Tunaomba tufungulie Mlango,, sisi tunaitwa FURAHA, AMANI na UPENDO. Tumebeba HEKIMA, BUSARA na MAFANIKIO. Tulikuwa wengi HURUMA na UPOLE wanakuja nyuma. …

Open printable article β†’