πUjumbe wa kimahaba wa kumtumia mpenzi wako aliyeko mbali na wewe kumwambia unavyommisi

Mawingu yametanda napanda kwenye kitanda, macho nayaangaza, taratibu navuta shuka na kujitanda, mishumaa pembezoni inaniangaza, mziki laini wanibembelezaΒ

Open printable article βπUjumbe mzuri wa SMS wa usiku mwema kwa mpenzi wako umpendaye

Mungu akubariki uwe mwiz wa ujuzi na maarifa, mlafi wa
kushauri, mroho wa busara, mchoyo wa matusi, mlevi wa
upendo na kiherehere cha kuabudu.

Open printable article βπMeseji nzuri ya kimahaba ya kumtakia usiku mwema mpenzi wako

Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia, fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu, fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japoΒ

Open printable article βπSMS nzuri ya usiku mwema kwa sweet wako

Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako, naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako,Β

Open printable article βπMeseji nzuri ya kimahaba ya kumtakia mpenzi wako usiku mwema

Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia,
fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu,
fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo

Open printable article βπMeseji ya kutakia usiku mwema

Usiku Ni "utulivu"
Usiku Ni "mzuri"
Usiku Ni"upole"
Usiku Ni "kimya"
Lakini Usiku
Haujakamilika
Bila..Kukutakia
Wewe..
U
S
I
K
U=m=w=e=m=a!

Open printable article βπSMS ya mahaba ya kimapenzi ya kutakia siku njema
Licha ya upole ulionao! Pia upendo wako ndio kishawishi cha kunifanya nikukumbuke siku zote. Jiulize! nina namba za watu wangapi ktk cmu yangu,na bado sijatamani kujua hali zao ila wewe! kwa kuwa, nakuthamini nakukujali, ndiyo maana nakutakia, SIKU NJEMA
Open printable article βπSMS nzuri ya kumtakia mpenzi wako asubuhi njema
Katika maisha nimejifunza mambo mengi ikiwemo,. Kupendwa, kupenda, kusamehe, kuvumilia, lakini nimeshindwa kujifunza kukusahau wewe kwa sababu umekuwa ukinikumbuka sana.. nakutakia ASUBUHI NJEMA
Open printable article βπSMS ya kutuma ujumbe wa kipepeo kwa mpenzi wako

Ruka, nenda upesi usichelewe.Tua kwa heshima mbele ya huyu nimpendaye. Sema naye kwa upole, chonde usimsumbue. Mwambie nipo salama ila namuwaza sana. Umwambie nampenda kamwe sitamsahau.

Open printable article βπSMS nzuriiii ya kumpa mtu hai
Nakupa HAI, kwa sababu uko HAI, usingekuwa HAI, ni vigumu kupewa HAI, basi nawe wape HAI, walio HAI, maana ni bahati kuwa HAI, wengi walitamani kuwa HAI, lakini wamepoteza UHAI,
Open printable article βπMeseji nzuri ya kumjalia hali umpendaye
USikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula na wali, usizidishe siki akawa mkali. Ni mimi niliye na dhiki nakujulia tu hali.
Open printable article βπSMS nzuri sana ya kutakia usiku mwema

Dah! Safari yetu ilikuwa ngumu kweli ila hatimaye tumefika japo ni usiku sana hebu tupige hodi tusije kabwa na vibaka hapa nje.
Hodiiiiii, Hodiiiii,

Open printable article βπSMS kali ya kumtumia mpenzi wako usiku

Ukilala Lala Salama Kumbatia mwili wangu Kama ukinikumbuka Sana Nipigie Kupitia Sim Yangu Matatizo Chuki Lawama Vumilia Mpenzi Wangu.

Open printable article βπUjumbe mzuri wa kumtumia mpenzi wako kumtakia usiku mwema

"""""Yule"""""
Anipendezae lazima nimkumbuke""
""nimpe salamu ""moyo""
wangu ""uridhike""
""Nimuombee kwa
MWENYEZI ""MUNGU"" mabaya yamuepuke""
""na kila lililo la kheri kwake lisiondoke''"
""nakutakia''"
"ucku mwema"

Open printable article βπUjumbe wa kumhasa mpenzi wako akupende kama unavyompenda
yakumbuke haya sana katika maisha yako wahurumie wenyekukupenda hasa mwenye pendo la dhati kama langu,wapendewanaokupenda japo kwa chembe ya upendo,thamini pendo laakupendae kwa kila mara japo sekunde moja.
Open printable article β